Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha, mtani bana tuige kulia lia au ? Mambo vipi lknDaah!!! Wanaume wa humu inabidi waige jamani. LOL.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, mtani bana tuige kulia lia au ? Mambo vipi lknDaah!!! Wanaume wa humu inabidi waige jamani. LOL.
Hivi mbona JF ni kama hamuoni kinachoendelea kwa MC mwenye chombo yakee.
Hivi ni sahihi Mwanaume kumililia Mwanamke hadharani kama alivyofanya jamaa?
Daah! Kulia hadharani nimeshindwà kukubaliana nayo. Kama kulia, nitajiliza faragha, chumbani hukoo tena baada ya kujiliza inafata show ya haja.
View attachment 1278759
Mbona mnamlazimisha jamani? Kuna siku amewaambia yeye ni mwanaume? Mbona anawaonesheni kwa vitendo na bado mnamsingizia mgogo wa watuMnoo kwanza nilijiskia aibu, mimi sitaki mwanaume wa vile jamani doooh
NakaziaAisee!!! Aigwe kwa kweli. 😎😎😎
Ndio mulie kwa ajili ya kuzidiwa na mapenzi Mtani. 😃😃Hahahaha, mtani bana tuige kulia lia au ? Mambo vipi lkn
Najaribu kutafuta shairi moja la mapenzi nikusomee uone penzi linavyopasua milima na majabali, likawadhalilisha majenerali na majemedari wa vita, wakawa hawajiwezi hajitambui wala hawajichukui kwa mapenzi yalivyowajaa kwa mahabuba wao🤪🤪🤪Ndio mulie kwa ajili ya kuzidiwa na mapenzi Mtani. 😃😃
Niko poa sana Mtani. Kwako je?
narudia tena "usi quote" ninachoandika next time popote paleJamii Forum hii ndiyo inakutoa akili kiasi uhamaki kiasi hicho hadi ushindwe kudadavua hiyo tafsida imetumika tokana na kauli yako ya kuwatabiria Watu kuwa watalia kama anavyolia lia Mc Hoho mbele za Watu?
Shushia maji ya kunywa afu vuta pumzi ili upambanue hoja vizuri bila ya kujikweza kwa matusi ya kuhamaki hapa sababu hunijui nami sikujui, istoshe hakuna asiyeweza kutukana hovyo kama ulivyopaniki.
Nimekusamehe bure tu sababu umetumia hisia(moyo) kupambanua hoja badala ya kutumia akili(ubongo) kuamua kwa busara zaidi [emoji23]
Nakusisitizia hatujuani ilihali wawezajikuta unahamaki na Rafiki, Ndugu au Jamaa yako wa karibu sana, so pole sana kwa kunitafsiri tofauti hadi ukapaniki [emoji847]
Hahahaha, tutalia chumbani ,safi mtaniNdio mulie kwa ajili ya kuzidiwa na mapenzi Mtani. [emoji2][emoji2]
Niko poa sana Mtani. Kwako je?
Let me ignore you coz there's nothing beneficial matters loosed from me, hence we are capable of behavioural variation elements as human beings, just proceed with what you believe peacefully.narudia tena "usi quote" ninachoandika next time popote pale
majina ya kipumbavu waite hao hao,sijatabiria mtu kitu "unaniskia"
sihitaji andika gazeti tena,maelezo ya juu kama hujayaelewa "endelea"
Siku huyu jamaa akijua anachapiwa lazima ajinyonge
Mshamba sana
Tena ni hatari sana kwetu Wanaume tuoneshapo hali ya kufa kimahaba kwa Wanawake, huwa twajizika kaburini mapema sana tungali hai kimanyanyaso.Ambapo chances za kugongewa ndiyo kubwa zaidi !
Yani ajiandae kisaikolojia tu!
Mwanamke mwenyewe yule anaonekana mwingi wa habari!
Cha msingi na sekondari ni kujitahidi fedha isikate,