MC Pilipili amlilia mkewe kwenye kipindi cha Zamaradi | Ni sahihi Mwanaume kumlilia mkeo hadharani?

MC Pilipili amlilia mkewe kwenye kipindi cha Zamaradi | Ni sahihi Mwanaume kumlilia mkeo hadharani?

Kama anazuga vile maana there was no build up to the crying.

Kulia kwa hisia kunaanziaga mbali unaziona dalili kwanza. He was just fine afu ghafla kaburst.

Maybe ndo game waliyoamua kutuchezea
Mi pia nimeona,, kalia ghafla sana km mtoto aliyefinywa
 
Hivi mbona JF ni kama hamuoni kinachoendelea kwa MC mwenye chombo yakee.

Hivi ni sahihi Mwanaume kumililia Mwanamke hadharani kama alivyofanya jamaa?

Daah! Kulia hadharani nimeshindwà kukubaliana nayo. Kama kulia, nitajiliza faragha, chumbani hukoo tena baada ya kujiliza inafata show ya haja.

View attachment 1278759
Anaigiza tu huyo
 
Tusome hapo kidogo
IMG-20191203-WA0042.jpeg
 
Hivi mbona JF ni kama hamuoni kinachoendelea kwa MC mwenye chombo yakee.

Hivi ni sahihi Mwanaume kumililia Mwanamke hadharani kama alivyofanya jamaa?

Daah! Kulia hadharani nimeshindwà kukubaliana nayo. Kama kulia, nitajiliza faragha, chumbani hukoo tena baada ya kujiliza inafata show ya haja.

View attachment 1278759
Aaaah kukeeeeeemama[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa hovyo sana, yaani mwanamke keshamseti.subirini siku atakapomfumania kakunjwa kama kambare na baharia, sitashangaa nikisikia kajitayarishia moto wa gunia kumi za mkaa na kujitumbukiza, kenge huyo kaidhalilisha sana Dom.
 
Mambo yake muachieni mwenyewe...

Ni mshehereshaji na mchekeshaji... Hizo zote ni kati ya sanaa zake...

Cc: mahondaw
 
Mke wake Anakazi kubwa Sana yakumbembeleza Huyu mwabaume goigoi.
Nchi ikipata wanaume kama hawa wengi inapotea Kabisa.
Ila sijui kama ni mwanaume kweli maana mkewe anambembeleza kama mtoto.
 
Jamaa kitaaluma ni mwalimu, walimu hua hawajiamini siku zote ndio sababu jamaa analia hovyo kila wakati
 
Sijui why MC Pili namfananisha na Konda
 
Hapa wala haihitajiki nguvu kutambua KICHWA CHA NYUMBA ni kipi. Bidada anajieleza bila tashwishwi jamaa linalia? Huyu jamaa hawajui wanawake aisee atapata taabu sana. Nakumbuka hata siku ya send off jamaa alimwaga michozi kama yote.
Kwa jinsi ninavyowajua wanawake wanavyopenda ku control, huyu jamaa kuna kipindi kitafika ataiona ndoa chungu.
Hili jamaa ni kama bado ligeni la wanawake
 
Back
Top Bottom