MC Pilipili amlilia mkewe kwenye kipindi cha Zamaradi | Ni sahihi Mwanaume kumlilia mkeo hadharani?

MC Pilipili amlilia mkewe kwenye kipindi cha Zamaradi | Ni sahihi Mwanaume kumlilia mkeo hadharani?

Mke wake Anakazi kubwa Sana yakumbembeleza Huyu mwabaume goigoi.
Nchi ikipata wanaume kama hawa wengi inapotea Kabisa.
Ila sijui kama ni mwanaume kweli maana mkewe anambembeleza kama mtoto.
Kulia sawa inaruhusiwa kimaadili haitakiwi mwanaume ulie hadharani

Ni aibu kubwa sana
 
Nakumbuka nililia nilivyompoteza baba angu mzazi mambo mengi ni kujidhalilisha mwanaume
 
Hivi ni lazima kila anae hojiwa na zamaradi alie?
 
Back
Top Bottom