MC Pilipili amlilia mkewe kwenye kipindi cha Zamaradi | Ni sahihi Mwanaume kumlilia mkeo hadharani?

Wamenibaka lakini kwa mbinde.
 
Mtu kulia tu mnamtungia uzi, je hao wanaojitundika ka yule wa jana kwa sababu alipoamka tu akakuta kipooza moyo hakipo.

Jamani, kila mtu amejaliwa moyo wa kuyahifadhi mapenzi. Kuna kupenda hadi giza likakuingia ukadhani ni huyo tuu kabaki duniani wengine wote weshajiendea akhera madukani.

Mwacheni ajioneshe. Ka weye hujampata wa jinsi hiyo, basi hujapendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…