MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

Tofauti yake na MC Pilipili ni degree na cheo tu ila when it comes to women they both simp as fuckkk
Umenikumbusha bwana Christopher wa Sex at dawn, aliyefanya tafiti kuhusu Love relationship, mating, sex ya homo sapiens,

Anasema Charles dawn, mwanasayansi alikuwa Mtu Smart Sana na intelligent , lakini alikuwa fala sana, Mtu mweupe sana katika kuwafahamu wanawake na Love relationship.
 
Kocha wa man city pep nae katengana na mke wake waliyedumu miaka 30, mimi ni nani nioe?
Kijani wacha woga, mifano ipo lukuki ya watu waliooa wakadumu mpaka kufa.

Charles dawn kabla ya kuoa aliandika kijitabu kuhusu advantage na disadvantage, faida na hasara za ndoa.

Faida moja wapo kubwaa hakutaka kufa kipweke au Maisha ya kipweke, hakutaka kukosa heshima katika Jamii iliyomzunguka.

Mwana FA -bado nipo nipo.
Insepecta haroun -ndoa Haina doa.
 
ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke.

kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii maarufu na mkubwa jamaa alipambana na akajipata mwishowe akaamua kuoa huyo mwanamke wake.

mwanamke mzuri na mrembo kweli kweli kila mwanaume rijali lazima angetamani kuwa naye. yes mc pilipili akaamua kumuoa na kufanya sherehe yenye gharama kubwa sana na kufungua hadi kanisa pamoja .

kwenye akili za mc pilipili aliamini huyo ni mwanamke wake wa maisha mpka ikafikia hatua akatangaza kutamani kutoa tena mahali kwa mara ya pili yote kutokana na kuonesha kiasi gani anampenda huyo mwanamke.

mc pilipili katumia pesa nyingi sana kwenye matanuzi na huyo mke wake lakini hadi sasa wameachana mc pilipili kafunga hadi kanisa hapo unapata picha kiasi gani mc pilipili kayumba kiuchumi.

hapo sijamgusia stamina na mke wake hadi kuamua kumtolea nyimbo, bado sijamgusia mke wa masanja na katibu wake wa kanisa ambaye hadi sasa katibu hayupo tena kanisani (tetesi).

wapo matajiri wakubwa kma elon musk na bill gate walikutana na mambo hya kutoka kwa wanawake zao. bado sijamzungumzia kanye west na ugumu wake alikiri kumpa kila kitu kim lakini mwisho wa siku kim aliomba talaka.

ukisoma hapo juu utaelewa kuwa haya mambo yapo na yanatokea na sio kama yanahusiana moja kwa moja na mahusiano yangu binafsi hapana bali ni mahusiano yote kwa ujumla.

mwanamke mwenyewe hajui anataka nini muda mwengine mwanamke namfananisha kma mtoto ambaye anaomba umnunulie mdori unamnunulia kesho akienda kwa mtoto mwenzie akiona kuna mdori ambao hana yeye lazima atakulazimisha umnunulie huyo mdori.

kwa kifupi hawajui wnachokitaka wanaendeshwa na hisia zao zaidi za wakati huo ndo maan mke wa mabeste akuona shida kumuacha mabeste licha ya mabeste kumhangaikia akiwa mgonjwa.

mwanamke hajali umekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda gani mna watoto wangapi anachojali yeye ni hisia zake kwa wakati huo. kw kifupi wanawake wengi ni wabinafsi ndo maana ukikuta mwanamke anampa pesa mwanaume jua ni mtego tu muda wowote atakukumbusha kuhusu hiyo pesa.

mwisho, mwanaume ana mengi ya kupoteza kwenye mahusiano na hata ndoa kuliko mwanamke. usiniulize kwanini diamond licha ya kutembea na wanawake kibao warembo kwanini haoi, usiniulize kwanini CR 7 haoi licha ya utajiri walionao, wote wanajua kuwa kwenye ndoa wana mengi ya kupoteza kuliko wanawake zao na usishangae kwanini wako karibu sana na mama zao.

Follow Daniel LokamachekiView attachment 3200730
Kwa nin wameachana
 
Sio poa aisee..

Mimi kuna Manzi hua namfukuzia sana, lengo kupiga ikibidi kumuoa... ila anajifanya mgumu wakati namuona mrahisi.

Katika harakati za kupeleleza kwann ananikazia nikagundua Kumbe mamamke mzazi amekufa ameoza kwangu.

Mbaya zaidi Mama ana miaka 38 na mtoto ana miaka 19 wanaishi pamoja kwahyo yawezekana wanashare story.

Mama kaolewa na ana watoto wanne, sema tatzo linaweza kua kwa mmewe maana ana miaka 58+ , labda hapeleki moto vizuri.

Kwa situation hiyo naungana na wakataa Ndoa... Haiwezekani mke wa mtu anitake kwa nguvu namna hii mpaka kumpiga stop mwanae kuwasiliana na mimi kisa wivu wake.

Mke wa mtu unamuoneaje wivu mwanaume sio mmeo! Tena anaemtaka mwanao!!!!

Harafu sasa wanajiita washika Dini, Sala 5 kama zote.... Na kuvaa gubi gubi macho tu ndio yanaonekana.

Na nasikia Moja ya sababu aliempa mwanae ili asiolewe na mimi Eti sina dini.

Sawa sina dini mbona ye mwenyewe ananitaka...
Mbinu za kijasusi za KGB
 
Nimependa kuna sehemu umeandika"kuna tetesi zinasema katibu kanisani kwa Masanja ß hayupo tena kanisani"😇😇😇
 
ninayoandika hapa simsingizii mtu bali natoa habari zangu kwenye vyanzo vya uhakika. sasa hivi mc pilipili ana trend baada ya kutangaza kuachana na mwanamke wake na kwenda mbali zaidi kusema ana tamaa huyo mwanamke.

kwa wasiomjua mc pilipili hakukurupuka hadi kufikia hatua ya kuwa msanii maarufu na mkubwa jamaa alipambana na akajipata mwishowe akaamua kuoa huyo mwanamke wake.

mwanamke mzuri na mrembo kweli kweli kila mwanaume rijali lazima angetamani kuwa naye. yes mc pilipili akaamua kumuoa na kufanya sherehe yenye gharama kubwa sana na kufungua hadi kanisa pamoja .

kwenye akili za mc pilipili aliamini huyo ni mwanamke wake wa maisha mpka ikafikia hatua akatangaza kutamani kutoa tena mahali kwa mara ya pili yote kutokana na kuonesha kiasi gani anampenda huyo mwanamke.

mc pilipili katumia pesa nyingi sana kwenye matanuzi na huyo mke wake lakini hadi sasa wameachana mc pilipili kafunga hadi kanisa hapo unapata picha kiasi gani mc pilipili kayumba kiuchumi.

hapo sijamgusia stamina na mke wake hadi kuamua kumtolea nyimbo, bado sijamgusia mke wa masanja na katibu wake wa kanisa ambaye hadi sasa katibu hayupo tena kanisani (tetesi).

wapo matajiri wakubwa kma elon musk na bill gate walikutana na mambo hya kutoka kwa wanawake zao. bado sijamzungumzia kanye west na ugumu wake alikiri kumpa kila kitu kim lakini mwisho wa siku kim aliomba talaka.

ukisoma hapo juu utaelewa kuwa haya mambo yapo na yanatokea na sio kama yanahusiana moja kwa moja na mahusiano yangu binafsi hapana bali ni mahusiano yote kwa ujumla.

mwanamke mwenyewe hajui anataka nini muda mwengine mwanamke namfananisha kma mtoto ambaye anaomba umnunulie mdori unamnunulia kesho akienda kwa mtoto mwenzie akiona kuna mdori ambao hana yeye lazima atakulazimisha umnunulie huyo mdori.

kwa kifupi hawajui wnachokitaka wanaendeshwa na hisia zao zaidi za wakati huo ndo maan mke wa mabeste akuona shida kumuacha mabeste licha ya mabeste kumhangaikia akiwa mgonjwa.

mwanamke hajali umekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda gani mna watoto wangapi anachojali yeye ni hisia zake kwa wakati huo. kw kifupi wanawake wengi ni wabinafsi ndo maana ukikuta mwanamke anampa pesa mwanaume jua ni mtego tu muda wowote atakukumbusha kuhusu hiyo pesa.

mwisho, mwanaume ana mengi ya kupoteza kwenye mahusiano na hata ndoa kuliko mwanamke. usiniulize kwanini diamond licha ya kutembea na wanawake kibao warembo kwanini haoi, usiniulize kwanini CR 7 haoi licha ya utajiri walionao, wote wanajua kuwa kwenye ndoa wana mengi ya kupoteza kuliko wanawake zao na usishangae kwanini wako karibu sana na mama zao.

Follow Daniel LokamachekiView attachment 3200730
Tatizo la mahusiano yanayoshamirishwa kwa nguvu za mitandao huwa na mwisho kama huu
 
Wanachofanya ni kilekile,kumkimbia mwanamke kumkimbilia mwanamke
Majamaa ni wajanja wa kuongea na kwenye ma TV na Video, lakini wakija field ni watepe tepe. Rule number one guard your thought, ndani yake lazima uwe na EQ kubwa, hawa kina Pilipili na wenzao wengi hawawezi ku handle emotions zao.
 
Akomee...
Aliniboa sana kumvalisha pete huku kapigw goti na kilio juu kama taahira....
Msyuuu
 
Back
Top Bottom