MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

Kitu kipya nimepata hapa,,kumbe unaweza olewa kisha ukaachana na kuendelea na maisha yako,,ila tu isomeke kwa watu ulishawahi olewa🙌🏾🙌🏾
Dada we acha tu! Kuna sababu nyingi sana zinawafanya wanawake waolewe hiyo ni moja wapo.

Sema ni tabia mbaya sana, Mtu akikupenda akaamua kukuoa anakuwa invested sana, hatakiwi kuwa disappointed kirahisi rahisi.
 
Aise kweli watu ngeli inatiririka tuu.
Eti umesemaje hapo? Kwamba highly questaionable 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Katika nyuzi za kataa ndoa ,,huu naweza sema ndio uzi wangu bora kabisa, maana wengine huwa wanaandika speculations ila wewe umegonga mule mule yani kila kitu 💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…