MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)


Pilipili mshamba, hana swagger wala hela sijui alimpataje mtoto mkali vile. Baada ya kuonewa huruma ilibidi akamie wapate mtoto labda angeendelea kuonewa huruma.
 
Da!!! braza mimi mwenyewe tangu mwaka 2021 niko singo,,,nilipigwa 2kio la ajabu kama yule bondia aliyekufa zanzibar!! kwa kifupi pamoja na kuishi na mke wangu kwa miaka ishiri na kuzaa watoto wanne kkujenga nyumba kadhaa,,,lakini alinipiga 2kio lilinigeuza kuwa mlevi mpaka leo hii,,,kazini wamaenistkia hawanipi kazi za ku2mia akili nyingi kwa wananiona mtambo!!!,,,,da!!!! NAWAOGOPA SANA!!
 
Pili pili mshamba, hana swagger wala hela sijui alimpataje mtoto mkali vile. Baada ya kuonewa huruma ilibidi akamie wapate mtoto labda angeendelea kuonewa huruma. Pisi kali zenye tamaa atuachie sisi.
Naona umejichagulia kitengo 😅 Kamati ya pisi kali.
 
Za ndani kabisa zinasema McPilipili naye ni bwabwa
 
Don't take women seriously

Hakikisha unamzidi akili mwanamke lasivyo utagongewa Sana😀😀😀
 
Dada we acha tu! Kuna sababu nyingi sana zinawafanya wanawake waolewe hiyo ni moja wapo.

Sema ni tabia mbaya sana, Mtu akikupenda akaamua kukuoa anakuwa invested sana, hatakiwi kuwa disappointed kirahisi rahisi.

Pilipili ashukuru alionewa huruma akae kwa kutulia. Kwanza alianza kwa kulia lia kama dent he set himself up for failure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…