Kwa Kansiime hata mimi nipo hivyo, halafu nimesahau kitu hata Mc Pili Pili ana tatizo la kufosi watu waione punch, hajui kua watu hiyo joke wameshaisikia so hawawezi kureact kama mwanzoNimetizamana sana standby commedies jamaa wengi hata east africa....
jamaa anajitahidi na jamaa wa Chulchil naona jamaa huyu ni Kichaa
Kansiime clips zake zachekesha ila Standby commedy zake hazinivutii
Kwa Kansiime hata mimi nipo hivyo, halafu nimesahau kitu hata Mc Pili Pili ana tatizo la kufosi watu waione punch, hajui kua watu hiyo joke wameshaisikia so hawawezi kureact kama mwanzo
Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya. Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri. Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Dogo asifikiri kuchekesha watu ni kitu rahisi pindi wanazoea vichekeshoEti atajikuta anacheka mwenyewe na watu wanadai kiingilio [emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo bhna kuna jamaa anajiita Prof. Hamo naye kavurugwa hataree. Cheki clips zake YouTubeKiukwel kwny comedian East Africa ambao nmewahi kuona nikimuondoa Legend King Majuto hakuna kama Eric Omondi east Africa
..........................................................
I agree with uNi kweli Tz hatupo vizuri katika stand up kwa waliopo sasa hivi ila hawa uliowataja labda Prof Hamo, binafsi Anne na Eric naona hawako vizuri. Kuna mshikaji anaitwa Ayeya yule ni comedian mzuri kushinda hawa wawili.
Kwa ninavyojua sifa nyingine ya kuchekesha kama huwezi observational comedy basi uwe unaongea ujinga hapa unaKutana mtu anaitwa Sumaku anaongeaga pumba tamu sana kuzisikiliza.
Wapo bhna kuna jamaa anajiita Prof. Hamo naye kavurugwa hataree. Cheki clips zake YouTube
Duh hujatembea ukaona mkuu.Kiukwel kwny comedian East Africa ambao nmewahi kuona nikimuondoa Legend King Majuto hakuna kama Eric Omondi east Africa
..........................................................
Yap he's quite different. Mc PiliPili ni muhim akajifunza kupitia kwake, hapa bongo bado hakuna ushindani sana kwenye sanaa hii. Anaweza kufika mbali kama akiwa seriousEric was funny back in the days...amefikia peak na haezi enda zaidi ya hapo.
Back then alikuwa funnier koz bado alikuwa ana-rise!!!
But i love his creativity...always struggling to be different.
Eric mweupe kweli hachekeshi kbsAisee kuna kitu unamiss kuna show inaitwa 'Churchill show' stand up comedians wa Kenya wanakua wanatoa burudani, hapo ndiyo nikajua Eric anakua analazimisha mtu ucheke fani haiwezi. Icheki hiyo ishu hata Youtube mkuu.
Duh hujatembea ukaona mkuu.
Kuna jamaa mmoja wa Uganda anaitwa Salvador...
Namfatilia vizuri. Level aliyofikia sio ya kumringanisha na mtu yeyote, he is doing goodNshaziona ila kwa Omondi atasubr sana, unamfatlia omondi mkuu lakn???
Lakini shida nyingine kama Tanzania hatuna appreciation ya other forms of art...zaidi ya mpira na mziki.Yap he's quite different. Mc PiliPili ni muhim akajifunza kupitia kwake, hapa bongo bado hakuna ushindani sana kwenye sanaa hii. Anaweza kufika mbali kama akiwa serious
Kiongozi ni kweli Salvador yupo vizuri.Duh hujatembea ukaona mkuu.
Kuna jamaa mmoja wa Uganda anaitwa Salvador...
Umesema vizuri sana, hawa comedians wetu hawaoni aibu kuirudia sms ambayo imetrend whatsapp na kuifanya kua kichekesho chao.Lakini shida nyingine kama Tanzania hatuna appreciation ya other forms of art...zaidi ya mpira na mziki.
Stand up comedy haikupata venue nzuri ila the more watu wanakuwa exposed naamini tutakuja kupata comedians wazuri tu.
Siwezi kusema in specifity kina Idris na Mc Pilipili na Katarina...but yeyote kati yao akiamua kuwa serious na kutengeneza comedy from what is hapenning here in tz atauza sana.
Ni kweli Mkuu Tz bado hatuna muamko kivile kwenye sanaa ya comedy japo tupo wachache tunaopenda ila ndo hivyo ukifika kwenye show unakuta madudu. Wasanii wakubali kufanya kazi chini ya management ambayo itawasaidia kuwa wabunifu zaidi..Lakini shida nyingine kama Tanzania hatuna appreciation ya other forms of art...zaidi ya mpira na mziki.
Stand up comedy haikupata venue nzuri ila the more watu wanakuwa exposed naamini tutakuja kupata comedians wazuri tu.
Siwezi kusema in specifity kina Idris na Mc Pilipili na Katarina...but yeyote kati yao akiamua kuwa serious na kutengeneza comedy from what is hapenning here in tz atauza sana.