Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

Nimetizamana sana standby commedies jamaa wengi hata east africa....

jamaa anajitahidi na jamaa wa Chulchil naona jamaa huyu ni Kichaa

Kansiime clips zake zachekesha ila Standby commedy zake hazinivutii
Kwa Kansiime hata mimi nipo hivyo, halafu nimesahau kitu hata Mc Pili Pili ana tatizo la kufosi watu waione punch, hajui kua watu hiyo joke wameshaisikia so hawawezi kureact kama mwanzo
 
Kwa Kansiime hata mimi nipo hivyo, halafu nimesahau kitu hata Mc Pili Pili ana tatizo la kufosi watu waione punch, hajui kua watu hiyo joke wameshaisikia so hawawezi kureact kama mwanzo

Pilipili hachekeshi kama ipo yenye kuchekesha share link....

naona anaboa tu....kuna siku nimeona kaiga vichekesho vya Basket mouth kavitafsiri kiswahili wakati sie tulishaviona 2008

kimsingi mvivu wa ubunifu
 
Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya. Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri. Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.

Kiukwel kwny comedian East Africa ambao nmewahi kuona nikimuondoa Legend King Majuto hakuna kama Eric Omondi east Africa

..........................................................
 
Kiukwel kwny comedian East Africa ambao nmewahi kuona nikimuondoa Legend King Majuto hakuna kama Eric Omondi east Africa

..........................................................
Wapo bhna kuna jamaa anajiita Prof. Hamo naye kavurugwa hataree. Cheki clips zake YouTube
 
Ni kweli Tz hatupo vizuri katika stand up kwa waliopo sasa hivi ila hawa uliowataja labda Prof Hamo, binafsi Anne na Eric naona hawako vizuri. Kuna mshikaji anaitwa Ayeya yule ni comedian mzuri kushinda hawa wawili.
Kwa ninavyojua sifa nyingine ya kuchekesha kama huwezi observational comedy basi uwe unaongea ujinga hapa unaKutana mtu anaitwa Sumaku anaongeaga pumba tamu sana kuzisikiliza.
I agree with u
 
Kiukwel kwny comedian East Africa ambao nmewahi kuona nikimuondoa Legend King Majuto hakuna kama Eric Omondi east Africa

..........................................................
Duh hujatembea ukaona mkuu.

Kuna jamaa mmoja wa Uganda anaitwa Salvador...
 
Eric was funny back in the days...amefikia peak na haezi enda zaidi ya hapo.

Back then alikuwa funnier koz bado alikuwa ana-rise!!!

But i love his creativity...always struggling to be different.
Yap he's quite different. Mc PiliPili ni muhim akajifunza kupitia kwake, hapa bongo bado hakuna ushindani sana kwenye sanaa hii. Anaweza kufika mbali kama akiwa serious
 
Aisee kuna kitu unamiss kuna show inaitwa 'Churchill show' stand up comedians wa Kenya wanakua wanatoa burudani, hapo ndiyo nikajua Eric anakua analazimisha mtu ucheke fani haiwezi. Icheki hiyo ishu hata Youtube mkuu.
Eric mweupe kweli hachekeshi kbs
 
Duh hujatembea ukaona mkuu.

Kuna jamaa mmoja wa Uganda anaitwa Salvador...

Uganda, kenya comedian wao wote nawafatlia sana hata huyo salvador namfatlia sana ila kwa Eric naona bdo...............................................
 
Yap he's quite different. Mc PiliPili ni muhim akajifunza kupitia kwake, hapa bongo bado hakuna ushindani sana kwenye sanaa hii. Anaweza kufika mbali kama akiwa serious
Lakini shida nyingine kama Tanzania hatuna appreciation ya other forms of art...zaidi ya mpira na mziki.

Stand up comedy haikupata venue nzuri ila the more watu wanakuwa exposed naamini tutakuja kupata comedians wazuri tu.

Siwezi kusema in specifity kina Idris na Mc Pilipili na Katarina...but yeyote kati yao akiamua kuwa serious na kutengeneza comedy from what is hapenning here in tz atauza sana.
 
Umesema vizuri sana, hawa comedians wetu hawaoni aibu kuirudia sms ambayo imetrend whatsapp na kuifanya kua kichekesho chao.

Wanashindwa kufanya observational comedy kwa kuiongelea mada au kitu fulani wakatia na ujinga humo watu wacheke.

Naona tuconclude kua hata kipaji cha ujinga hawana, Faiza Foxy awaoneshe hawa shule za kusomea ujinga.
 
Halafu kuna dogo mwingine mbongo nilimuona kwenye clip moja ya comedy ambapo idris pia yupo.

Huyo dogo naye akiamua kuinvest kweli kwenye comedy atakuwa mzuri kuliko hawa wenye majina.
 
Lakini shida nyingine kama Tanzania hatuna appreciation ya other forms of art...zaidi ya mpira na mziki.

Stand up comedy haikupata venue nzuri ila the more watu wanakuwa exposed naamini tutakuja kupata comedians wazuri tu.

Siwezi kusema in specifity kina Idris na Mc Pilipili na Katarina...but yeyote kati yao akiamua kuwa serious na kutengeneza comedy from what is hapenning here in tz atauza sana.
Ni kweli Mkuu Tz bado hatuna muamko kivile kwenye sanaa ya comedy japo tupo wachache tunaopenda ila ndo hivyo ukifika kwenye show unakuta madudu. Wasanii wakubali kufanya kazi chini ya management ambayo itawasaidia kuwa wabunifu zaidi..
 
Back
Top Bottom