Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

<<wote TZ hapa stev,pilipil,iddy,wotee kazi ya kutaja majina tuu ya watu jukwaani sijui kidooogo JOTI akianza pangineo atakuwa mbunifu maana anacheza sehemu 3 tofauti ,babu ,mke,mtoto>>>
 
Iv hzo channel za kuchek wakenya n zip na SAA ngap kwenye dstv
 
Ayeya ni anajua aiseee.

News ni news
 
Sasa kila mtu hapa anakuja na komedi wake bora bila Shaka na mc pilipili anamashabiki wake wanaompenda
Shida Ya mc pilipili anatumia nguvu nyingi Sana kuchekesha
Ajifunze kwa Mpoki na sumaku WA mizengwe......
 
Mi Bora niendelee kuwa angalia akina Kat William, criss rock n sommore n Eddie Griffin lakini hawa wabongo Ni zero kabisa.
Afadhali akina Churchill wako poa
Mpoki ndio Mtu angeiweza stand up vizuri bongo. Yuko creative
 
Na kweli nshamsikia Mc Pilipili anasimulia vile vichekesho vya whatsup tena vya tangu 2013...yeye 2016 anahadithia afu anatarajia watu wacheke sana! Wengi waliocheka walionekana wanacheka ili kumtia moyo tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yule mc pilipili hamna kitu kabisa
 
awe anaangalia wenzie akina trevor noah, chris rock na russel peters... ajifunze vitu vipya
 
Mc Jessy anajua sana.

Bila kusahau Erick Omondi.. kapeleka Standuo comedy kwa level tofauti, kifupi The Churchil show ipo vizuri

Kibongo bongo kwakweli.. standup comedians wachache mno.. walianza lile kundi la Bukuku sijui wakaishia wapi masikini!
 
Uganda, kenya comedian wao wote nawafatlia sana hata huyo salvador namfatlia sana ila kwa Eric naona bdo...............................................


Well naamini kuna mambo tunaruhusiwa kukubaliana kutokukubaliana!

Kwa hili naomba iwe hiyo!

Mimi huwezi niwekea show ya Eric na ya -say-Salvador halafu niende ya Eric!!!

Ila ni mtazamo and it is what brings harmony!
 
Mi Bora niendelee kuwa angalia akina Kat William, criss rock n sommore n Eddie Griffin lakini hawa wabongo Ni zero kabisa.
Afadhali akina Churchill wako poa
Mpoki ndio Mtu angeiweza stand up vizuri bongo. Yuko creative
Usimsahau na late Bernie Mac alikuwa vzuri sana miaka 13 iliyopita. Apumzike kwa amani
 

daaah.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…