Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ayeya ni anajua aiseee.Ni kweli Tz hatupo vizuri katika stand up kwa waliopo sasa hivi ila hawa uliowataja labda Prof Hamo, binafsi Anne na Eric naona hawako vizuri. Kuna mshikaji anaitwa Ayeya yule ni comedian mzuri kushinda hawa wawili.
Kwa ninavyojua sifa nyingine ya kuchekesha kama huwezi observational comedy basi uwe unaongea ujinga hapa unaKutana mtu anaitwa Sumaku anaongeaga pumba tamu sana kuzisikiliza.
Na kweli nshamsikia Mc Pilipili anasimulia vile vichekesho vya whatsup tena vya tangu 2013...yeye 2016 anahadithia afu anatarajia watu wacheke sana! Wengi waliocheka walionekana wanacheka ili kumtia moyo tu [emoji23][emoji23][emoji23]Umesema vizuri sana, hawa comedians wetu hawaoni aibu kuirudia sms ambayo imetrend whatsapp na kuifanya kua kichekesho chao.
Wanashindwa kufanya observational comedy kwa kuiongelea mada au kitu fulani wakatia na ujinga humo watu wacheke.
Naona tuconclude kua hata kipaji cha ujinga hawana, Faiza Foxy awaoneshe hawa shule za kusomea ujinga.
Yule mc pilipili hamna kitu kabisaNimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya. Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri. Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Uganda, kenya comedian wao wote nawafatlia sana hata huyo salvador namfatlia sana ila kwa Eric naona bdo...............................................
Tatzo hana ubunifu. Ila kama angeamua kukaza anafika mbali tu, bongo hakuna ushindani wa watu wenye Carrier yake.Yule mc pilipili hamna kitu kabisa
Usimsahau na late Bernie Mac alikuwa vzuri sana miaka 13 iliyopita. Apumzike kwa amaniMi Bora niendelee kuwa angalia akina Kat William, criss rock n sommore n Eddie Griffin lakini hawa wabongo Ni zero kabisa.
Afadhali akina Churchill wako poa
Mpoki ndio Mtu angeiweza stand up vizuri bongo. Yuko creative
Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya. Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri. Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.