supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,952
Kwenye harusi ya Masanja Mkandamizaji alikuwepo. Pamoja na kuwepo kikosi kizima cha Orijinal komedi, mpoki, joti nkhivi harusi yako mtu mzima unamuwekaje mc pilipili ?
Ndio aliekuja na huo msemo wa 'Kitu fulani amaizing' ?tatizo wabongo mlimshobokea sana na amaizing yake
Na anavyovirudia aliviiga sehemu.....kama kile cha mwanamke anaomba apate Mume ni cha nigeria kile ila alifanya translation tuDuh mlivyomkomalia, kwa upande wangu naona anachekesha, tatizo lake ni moja, anarudia sana vichekesho, sio mzalishaji mzuri wa vitu vipya
Natumaini unaangalia FLORA SHOW muda huu EAtv.Huyu jamaa bora afungue biashara ya kuosha magari a.k.a CAR WASH.
sema MCA Tricky sanaaaaaa,hahahah rafikiye na Jontes na Pinto.daah anaweza sana yule chokoraaBinasfi namuona kama mlopokaji asie jua anachoongea afanye U mc wa maharusi tu ila comedy hawezi aangalie wenzake nampenda sana MCA tricky wa Kenya huyu Dogo anakipaji kikubwa sana!
Ni tricky sanaaa...sema MCA Tricky sanaaaaaa,hahahah rafikiye na Jontes na Pinto.daah anaweza sana yule chokoraa
criss Rock is far way better than HartKevin Hart will remain the best.
jamaa anaboa sana aisee, hivi hatuwezi kuweka pingamizi BASATA au mahakamani asiendelee kuboa???Kingine Jinsi Anavyo Tolea Mfano Uwalimu Wake, Anasema Et "Imagine Mm Nlikua Mwalimu Kabsa Huwez Amini", As If Kaz Anayofanya Ni Ya Maana Kuliko Uwalimu. Me Naamini Alikua Mwalimu Kilaza Wale Wanaoenda Kwasababu Koz Alizotaka Zilimkataa. Me Nadhan Katika Kila Sector Kwa Sasa Km Ukiwa Compitent Unafka Mbali. Na Kujisifu Kupanda Ndege, Me Nadhani Hzo Show Zlipaswa Kufanywa Kwao Dodoma Tena Huko Mawilayani
kweli kabisa aysee,hapo kwenye kufananisha ualimu na u MC kweli anakosea,uchekeshaji wenyewe hauwezi.pumba tupuKingine Jinsi Anavyo Tolea Mfano Uwalimu Wake, Anasema Et "Imagine Mm Nlikua Mwalimu Kabsa Huwez Amini", As If Kaz Anayofanya Ni Ya Maana Kuliko Uwalimu. Me Naamini Alikua Mwalimu Kilaza Wale Wanaoenda Kwasababu Koz Alizotaka Zilimkataa. Me Nadhan Katika Kila Sector Kwa Sasa Km Ukiwa Compitent Unafka Mbali. Na Kujisifu Kupanda Ndege, Me Nadhani Hzo Show Zlipaswa Kufanywa Kwao Dodoma Tena Huko Mawilayani