Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

Pili pili kinachomshinda ni kwamba hana exposure hivyo anakosa mambo mengi ya kuweka kwenye comedy zake. Pia inawezekana sio mfuatiliaji wa mambo yanayoendelea ndomana anajikuta anaendelea kusimulia vichekesho vya siku nyingi.
 
Sure, anarudia mnoo comedy zake.. Kila harusi kitu hiko jiko, bora hata yile mwanamke, (Katarina) .. Apumzie kidogo ajipange kurudi kny game
 
Kingine Jinsi Anavyo Tolea Mfano Uwalimu Wake, Anasema Et "Imagine Mm Nlikua Mwalimu Kabsa Huwez Amini", As If Kaz Anayofanya Ni Ya Maana Kuliko Uwalimu. Me Naamini Alikua Mwalimu Kilaza Wale Wanaoenda Kwasababu Koz Alizotaka Zilimkataa. Me Nadhan Katika Kila Sector Kwa Sasa Km Ukiwa Compitent Unafka Mbali. Na Kujisifu Kupanda Ndege, Me Nadhani Hzo Show Zlipaswa Kufanywa Kwao Dodoma Tena Huko Mawilayani
 
jamaa anaboa sana aisee, hivi hatuwezi kuweka pingamizi BASATA au mahakamani asiendelee kuboa???
 
Kingine Jinsi Anavyo Tolea Mfano Uwalimu Wake, Anasema Et "Imagine Mm Nlikua Mwalimu Kabsa Huwez Amini", As If Kaz Anayofanya Ni Ya Maana Kuliko Uwalimu. Me Naamini Alikua Mwalimu Kilaza Wale Wanaoenda Kwasababu Koz Alizotaka Zilimkataa. Me Nadhan Katika Kila Sector Kwa Sasa Km Ukiwa Compitent Unafka Mbali. Na Kujisifu Kupanda Ndege, Me Nadhani Hzo Show Zlipaswa Kufanywa Kwao Dodoma Tena Huko Mawilayani
kweli kabisa aysee,hapo kwenye kufananisha ualimu na u MC kweli anakosea,uchekeshaji wenyewe hauwezi.pumba tupu
 
Back
Top Bottom