Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

Dadaaaaaaaa... Wanamtania MC
@ King'asti
 
Kuna Mkuu kasema abaki na kazi ya uMC,aisee huko nako anaboa sana.

Anaongeaga pumba sana na kuchosha maharusi kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Kuna Mkuu kasema abaki na kazi ya uMC,aisee huko nako anaboa sana.

Anaongeaga pumba sana na kuchosha maharusi kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
Huyu jamaa bora atafute wa kumpaka mafuta mgongoni mpaka sehemu za ARABUNi kama mwenzake BEN POL tu hakuna namna.
 
Duh mlivyomkomalia, kwa upande wangu naona anachekesha, tatizo lake ni moja, anarudia sana vichekesho, sio mzalishaji mzuri wa vitu vipya
Wewe ndo umeongea point, ni kweli mc pilipili ni mchekeshaji nzuri na anajua ila kazidi kurepeat sana comedy awe mbunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…