Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya.

Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.

Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri.

Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Dadaaaaaaaa... Wanamtania MC
@ King'asti
 
Kuna Mkuu kasema abaki na kazi ya uMC,aisee huko nako anaboa sana.

Anaongeaga pumba sana na kuchosha maharusi kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
 
kenya.jpg
HIVI BADO ANATEMBEA NA ILE PASSPORT YAKE YRNYE VISA YA AMERICA
 
Duh mlivyomkomalia, kwa upande wangu naona anachekesha, tatizo lake ni moja, anarudia sana vichekesho, sio mzalishaji mzuri wa vitu vipya
Wewe ndo umeongea point, ni kweli mc pilipili ni mchekeshaji nzuri na anajua ila kazidi kurepeat sana comedy awe mbunifu.
 
Back
Top Bottom