Martin Luther Jr
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 722
- 207
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaah proff harmo n shiiiida yule na anavoimbaDah proff harmo ni mwisho huyu jamaa
Dadaaaaaaaa... Wanamtania MCNimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya.
Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri.
Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Huyu jamaa bora atafute wa kumpaka mafuta mgongoni mpaka sehemu za ARABUNi kama mwenzake BEN POL tu hakuna namna.Kuna Mkuu kasema abaki na kazi ya uMC,aisee huko nako anaboa sana.
Anaongeaga pumba sana na kuchosha maharusi kwa maswali yasiyo na kichwa wala miguu.
anapenda kutaja hilo neno'Amazing yake' umemaanisha nini?
huyo jamaa bila kuweka "ooh my god" hajajisikia rahaTukubaliane, Wagogo Ni mzigo "Makinikia" ya Taifa.
Wewe ndo umeongea point, ni kweli mc pilipili ni mchekeshaji nzuri na anajua ila kazidi kurepeat sana comedy awe mbunifu.Duh mlivyomkomalia, kwa upande wangu naona anachekesha, tatizo lake ni moja, anarudia sana vichekesho, sio mzalishaji mzuri wa vitu vipya