Mambembe
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 2,217
- 2,970
Wewe ndio huyo binti?!
Wewe ndo yeye!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio huyo binti?!
Mabula ha ha ha ngoja huyu nimuhifadhi.Alafu kingu mwenyewe jamani unajuaa simuelewagi yaan huwa hanishawishi bora hata yule mabula wa mwanza naweza kucatch grenade for him ndo type zangu zile na marehemu philip njombe hata heche piaa lol
Binafsi namkubali sana huyu Dada, Kila kitu hasa rangiSimuonei wivu sijui kwanini simuoni Nic kama ni mzuri, labda hizo make up live ni wa kawaida saaana!!!
Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu.Binafsi namkubali sana huyu Dada, Kila kitu hasa rangi
Watu ndo wanavyojua Irene kapewa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes nishawahi kumuona nayo Kingu ile gari, ndiyo maana nilishangaa kuona jana Mange anasema kamnunulia Irene.
Ila kidoa nae kauzuri uzuri basi tu nyota hana.Hamna taifa linalomtambuaa ni emelda wa global unampa tu elaa anakuandikaaa,we huonagai wakina kidoa salum wanavyoandikwa lakini waaaapi
Kuna pini zingine ni nzuri hata muwe mia mtakubali tu, Mungu fundiUzuri wa mtu upo machoni mwa mtu.
Yaaan emelda wa global kajitahidi saana kumpaishaa lakin wap?Ila kidoa nae kauzuri uzuri basi tu nyota hana.
Kweli bwanaKuna pini zingine ni nzuri hata muwe mia mtakubali tu, Mungu fundi
Sema anaigiza siku hizi anawezw akawaka waka kidogiYaaan emelda wa global kajitahidi saana kumpaishaa lakin wap?
Haswaa...Uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu.
Ni muongooooo muongoo sijaona. Anaweza akakupiga kiswahili kama humjui unaamini. Tena sio Tz mke wake yuko IgungaKingu anamdharau mkewe sijui kwanini na ni muongo sana, alishakua ni shemela sehemu flan akawa anadanganya mkewe yupo nje so bidada awe huru kuja kustuka tukashangaa mbona mkewe yupo tu tz.
Bora anaewavalisha Nicole alikua anashona nguo sare na watoto wa Kingu [emoji23][emoji23]Yaaaan alafu irene ndo anawavalisha familiaa nzimaa khaaaa mwanamke zumbukuku yule unashindwa hata kuhisi
Hana shida mwenyewe ukisema umle mbona unamla tu na wala hashtukiYaaaan watu kama hao unawalaaaaaa elaaaaa weee mpka ukishatosheka ndo unakuja kumpa kimoja anasepaaaa
HahaahahhaaaYaani kama huko shuleni huyo ndo mbaya wao, hao visu si watakuwa malaika sasa au vipi mkuu
Mabula nina crush ane basi tu alimuoa dada wa mtu ninaemjua ilaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabula ha ha ha ngoja huyu nimuhifadhi.
Yaani huyo nyota ndiyo imegoma kabisaaaIla kidoa nae kauzuri uzuri basi tu nyota hana.
Shule sio kwa kila mtu. Na maisha waliyoyachagua shule hawawezi waleYaani huyo nyota ndiyo imegoma kabisaaa
.....warudi tu shule hakuna namna sasa
Ha ha ha haMabula nina crush ane basi tu alimuoa dada wa mtu ninaemjua ilaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]