MC Pilipili ulimfanya nini Miss Shinyanga 2014 Nicole Franklin?

MC Pilipili ulimfanya nini Miss Shinyanga 2014 Nicole Franklin?

Alafu kingu mwenyewe jamani unajuaa simuelewagi yaan huwa hanishawishi bora hata yule mabula wa mwanza naweza kucatch grenade for him ndo type zangu zile na marehemu philip njombe hata heche piaa lol
Mabula ha ha ha ngoja huyu nimuhifadhi.
 
Hamna taifa linalomtambuaa ni emelda wa global unampa tu elaa anakuandikaaa,we huonagai wakina kidoa salum wanavyoandikwa lakini waaaapi
Ila kidoa nae kauzuri uzuri basi tu nyota hana.
 
Kingu anamdharau mkewe sijui kwanini na ni muongo sana, alishakua ni shemela sehemu flan akawa anadanganya mkewe yupo nje so bidada awe huru kuja kustuka tukashangaa mbona mkewe yupo tu tz.
Ni muongooooo muongoo sijaona. Anaweza akakupiga kiswahili kama humjui unaamini. Tena sio Tz mke wake yuko Igunga
 
Yaaaan alafu irene ndo anawavalisha familiaa nzimaa khaaaa mwanamke zumbukuku yule unashindwa hata kuhisi
Bora anaewavalisha Nicole alikua anashona nguo sare na watoto wa Kingu [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom