MC Pilipili umechemsha sana harusi ya Julius B. Liwenga leo

Chukua chako mapema. ..mwamba kasha kula pesa nyie furaha yenu ni juu yenu
 
Kwanza mgogo na kuchekesha wapi na wapi, mgogo lake zeze na malimba Kama kina zawose wa bagamoyo, kachezea kazi yake ya ualimu kiboya tu, mwenzie galab super brand kazi yake hakuacha anapiga kotekote.
Huyo GalaB ana fan gan zaidi ya umc
 
Huyo GalaB ana fan gan zaidi ya umc
Mwalimu wa sekondary, kasomea Moro ttc, anafundisha kingereza shule hipo temeke dar, kabila lake ni mhaya, Asante kwa kuchangia, sijui kutaka kunishushua,yote heri.
 
No upo negative sana mkuu,mm nipo mkoani nilijuaga ni mc tuu basi
 
Mapungufu ndio haya;
  • Kwanza hajatambulisha vyoo vilipo.
  • Hadi sasa saa sita kasoro dakika 13 hatujala.
  • Muziki mbovu balaa, baadhi ya spika hazipigi, hamna sound balancing, sauti yako hatuisikii kabisa.
  • Viwango vyako vya muziki umevipima? Je, vinakidhi matakwa ya NEMC?
  • Kwanini ulazimisha kuchekesha mbele ya hadhira ambayo haicheki? Comedy na ushereheshaji ni vitu viwili tofauti. Umefeli kote, kwenye kuwa MC na kwenye comedy.
Kuna watu wanapenda kujitoa ufahamu. Daima harusi ni kula na kunywa tuu. Mengine ni kupoteza mda. Haijalishi harusi unafanyia wapi. make sure there is plenty of food and what to drink.

Halafu hizi tabia za kulisha watu viporo saa nne usiku..watu wanajifunza wapi? Inakera sana. umeita watu mwenyewe. then unataka watu wale chakula saa sita usiku..hiyo ni kukomoana, siyo mwaliko. Jitahidi sana, by saa mbili usiku watu washapata menu. Ila bongo watu wana ugomvi na time management.

Ila siku zote napenda kuwashauri watu. Kamwe usifanye kosa kwenda kwenye sherehe yoyote ukiwa na njaa/kiu. Lazima utagombana na watu tuu. Jitahidi kabla ya kuelekea ukumbini pita sehemu gonga menu na beer zako kadhaa..then tinga ukumbuni. You will be the happiest fella.
 
sawa

Back
Top Bottom