To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
KabisaHapana. Siku hizi watu wanafunga harusi. Ndoa zilikuwa zamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaHapana. Siku hizi watu wanafunga harusi. Ndoa zilikuwa zamani.
Sasa wanawake watakojoane kwenye vikopo mkuu?Vyoo vya Nini,hukutembea na vikopo vilivyoisha maji?
[emoji16][emoji120]Vyoo vya Nini,hukutembea na vikopo vilivyoisha maji?
Unalengesha vizuri tu...hayajakukutaSasa wanawake watakojoane kwenye vikopo mkuu?
🤣🤣🤣🤒[emoji16][emoji120]
Huyo GalaB ana fan gan zaidi ya umcKwanza mgogo na kuchekesha wapi na wapi, mgogo lake zeze na malimba Kama kina zawose wa bagamoyo, kachezea kazi yake ya ualimu kiboya tu, mwenzie galab super brand kazi yake hakuacha anapiga kotekote.
Mwalimu wa sekondary, kasomea Moro ttc, anafundisha kingereza shule hipo temeke dar, kabila lake ni mhaya, Asante kwa kuchangia, sijui kutaka kunishushua,yote heri.Huyo GalaB ana fan gan zaidi ya umc
No upo negative sana mkuu,mm nipo mkoani nilijuaga ni mc tuu basiMwalimu wa sekondary, kasomea Moro ttc, anafundisha kingereza shule hipo temeke dar, kabila lake ni mhaya, Asante kwa kuchangia, sijui kutaka kunishushua,yote heri.
Poapoa, pamoja Sana.No upo negative sana mkuu,mm nipo mkoani nilijuaga ni mc tuu basi
Kuna watu wanapenda kujitoa ufahamu. Daima harusi ni kula na kunywa tuu. Mengine ni kupoteza mda. Haijalishi harusi unafanyia wapi. make sure there is plenty of food and what to drink.
Mapungufu ndio haya;
- Kwanza hajatambulisha vyoo vilipo.
- Hadi sasa saa sita kasoro dakika 13 hatujala.
- Muziki mbovu balaa, baadhi ya spika hazipigi, hamna sound balancing, sauti yako hatuisikii kabisa.
- Viwango vyako vya muziki umevipima? Je, vinakidhi matakwa ya NEMC?
- Kwanini ulazimisha kuchekesha mbele ya hadhira ambayo haicheki? Comedy na ushereheshaji ni vitu viwili tofauti. Umefeli kote, kwenye kuwa MC na kwenye comedy.
Kuna watu wanapenda kujitoa ufahamu. Daima harusi ni kula na kunywa tuu. Mengine ni kupoteza mda. Haijalishi harusi unafanyia wapi. make sure there is plenty of food and what to drink.
Halafu hizi tabia za kulisha watu viporo saa nne usiku..watu wanajifunza wapi? Inakera sana. umeita watu mwenyewe. then unataka watu wale chakula saa sita usiku..hiyo ni kukomoana, siyo mwaliko. Jitahidi sana, by saa mbili usiku watu washapata menu. Ila bongo watu wana ugomvi na time management.
Ila siku zote napenda kuwashauri watu. Kamwe usifanye kosa kwenda kwenye sherehe yoyote ukiwa na njaa/kiu. Lazima utagombana na watu tuu. Jitahidi kabla ya kuelekea ukumbini pita sehemu gonga menu na beer zako kadhaa..then tinga ukumbuni. You will be the happiest fella.