Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Huyo kijana pilipili na mwenzake yule mchumba wa wema Huwa wanafosi kufanya comedy sema kipaji ndo hawana hayo mambo wamwachie mpoki na joti ndo wanayaweza!
Hapa JF Ukitaka kuonekana GT, wewe ponda kila kitu..
Kukopi sio swala zuri kwanza anaweza kushtakiwa kama ni kweli..
Mimi Binafsi naona MC pilipili anajitahidi sana kuchekesha.. kwenye ukweli tuseme
Nilisikia na steve nyerere nae anataka kuanzisha! duuuu....
Kina Prof. Hammo,Jemutai,Omondi wapo creative sana.umaarufu kidogo alioupata unamsahaulisha kua "comedy designer" badala yake "dstv" ndo imekua designer wake....mb.uzi kabisa
kuna stand up comedy moja iko kenya inatwa "churchill show" pale kuna comedy ma hardworker toka waanze kunichekesha sijawahi kuona "marudio"
Brazil nao wanakopi kutoka tandahimbaNa USA wamekopi toka Brazil
Hapa JF Ukitaka kuonekana GT, wewe ponda kila kitu..
Kukopi sio swala zuri kwanza anaweza kushtakiwa kama ni kweli..
Mimi Binafsi naona MC pilipili anajitahidi sana kuchekesha.. kwenye ukweli tuseme
Hahahha,aisee kumbe kila mmoja anavyonza kwa mwenzie?Na TV za kenya zina copy katika TV moja ya Ghana
kidogo ila niliangalia ile ya majaribio haina ufanisi kiivo kama ameumiza kichwaSteve anajitahid kuliko hao 2 msikize
huyu kigwendu nae ucheshi wale ni chooni tu ndo anaoujua ila kwa mc pili pili nilivyokuw namuona sikujua kama ni comedianIla jamani Sio Siri huyo Mc sionagi kama anaweza kunichekesha,maana kila nikiangalia naona kawaida saaana.
Kuna kipaji kinakuwa ni asili na kingine ni cha kutengeneza kwa kuona fulani anafanya nini.
Sasa acha kipaji kijieleze.
Leo hii Mzee majuto au Kingwendu,akisimama tu bila kuchekesha basi lazima utacheka tu.
Sasa Level hizi kuigika ni ngum,maana kipaji na mvuto upo naturally.
Loh yaani churchil ni noma ,kwanza jamaa anajua kubadilika aisee ,yaaani ni tricky sanaumaarufu kidogo alioupata unamsahaulisha kua "comedy designer" badala yake "dstv" ndo imekua designer wake....mb.uzi kabisa
kuna stand up comedy moja iko kenya inatwa "churchill show" pale kuna comedy ma hardworker toka waanze kunichekesha sijawahi kuona "marudio"
Fuatilia stand up comedy za kina basket mouth wa nigeria you tube. MC pili pili anacopy na kupaste. Sema its still funny!Hapa JF Ukitaka kuonekana GT, wewe ponda kila kitu..
Kukopi sio swala zuri kwanza anaweza kushtakiwa kama ni kweli..
Mimi Binafsi naona MC pilipili anajitahidi sana kuchekesha.. kwenye ukweli tuseme
Naskia Russia wamekopi thailandNasikia USA wamekopi Russia
[emoji817]