MC Pilipili unaboa TV 1 kwa kukopi vichekesho toka Kenya

Huyo kijana pilipili na mwenzake yule mchumba wa wema Huwa wanafosi kufanya comedy sema kipaji ndo hawana hayo mambo wamwachie mpoki na joti ndo wanayaweza!

Tena kama mchumba wa wema anaFORCE balaa hadi kugeuza sura na sauti, kuigiza kipaji ukitaka kujua msikilize mpoki sauti ile ile lakini Maneno utavunja mbavu
 
Hapa JF Ukitaka kuonekana GT, wewe ponda kila kitu..

Kukopi sio swala zuri kwanza anaweza kushtakiwa kama ni kweli..

Mimi Binafsi naona MC pilipili anajitahidi sana kuchekesha.. kwenye ukweli tuseme

Tuseme ukweli nipe link aliyokuchekesha ukacheka ili nicheke nilete mrejesho
 
umaarufu kidogo alioupata unamsahaulisha kua "comedy designer" badala yake "dstv" ndo imekua designer wake....mb.uzi kabisa
kuna stand up comedy moja iko kenya inatwa "churchill show" pale kuna comedy ma hardworker toka waanze kunichekesha sijawahi kuona "marudio"
Kina Prof. Hammo,Jemutai,Omondi wapo creative sana.
By the way Mc nae ndo amepata pa kuingizia siku,we sema sana mitandaoni lakn yeye anaingiza siku.kopi wewe kama utatoka
 
Hapa JF Ukitaka kuonekana GT, wewe ponda kila kitu..

Kukopi sio swala zuri kwanza anaweza kushtakiwa kama ni kweli..

Mimi Binafsi naona MC pilipili anajitahidi sana kuchekesha.. kwenye ukweli tuseme

mweemwee mweeee! Kwa Sauti ya Senga...
 
Ila jamani Sio Siri huyo Mc sionagi kama anaweza kunichekesha,maana kila nikiangalia naona kawaida saaana.
Kuna kipaji kinakuwa ni asili na kingine ni cha kutengeneza kwa kuona fulani anafanya nini.

Sasa acha kipaji kijieleze.
Leo hii Mzee majuto au Kingwendu,akisimama tu bila kuchekesha basi lazima utacheka tu.
Sasa Level hizi kuigika ni ngum,maana kipaji na mvuto upo naturally.
 
huyu kigwendu nae ucheshi wale ni chooni tu ndo anaoujua ila kwa mc pili pili nilivyokuw namuona sikujua kama ni comedian
 
umaarufu kidogo alioupata unamsahaulisha kua "comedy designer" badala yake "dstv" ndo imekua designer wake....mb.uzi kabisa
kuna stand up comedy moja iko kenya inatwa "churchill show" pale kuna comedy ma hardworker toka waanze kunichekesha sijawahi kuona "marudio"
Loh yaani churchil ni noma ,kwanza jamaa anajua kubadilika aisee ,yaaani ni tricky sana
 
MC pilipili ni mzuri(Standup Commedy) ila kipindi ndo kibaya
 
Jamaa nimeangalia clip zake U-Tube,anachekesha. Sema ana tatizo la kurudia sana vichekesho, mfano kile kichekesho cha wigi kila event anakisimulia. Akweza kuzalisha vichekesho vipya atakuwa mzuri
 
Hapa JF Ukitaka kuonekana GT, wewe ponda kila kitu..

Kukopi sio swala zuri kwanza anaweza kushtakiwa kama ni kweli..

Mimi Binafsi naona MC pilipili anajitahidi sana kuchekesha.. kwenye ukweli tuseme
Fuatilia stand up comedy za kina basket mouth wa nigeria you tube. MC pili pili anacopy na kupaste. Sema its still funny!
 
Huyu Mc pilipili simpendi kishenzi sijui hata kwanini! mara ajichekeshe na kuanza kucheka kama mjinga mjinga!

Bora niwaskilize clip za kina Bwakila!!

Hapa jf kuna member ni role model wao!
 
Back
Top Bottom