screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
nasikia thailand wamenikopi mimiNaskia Russia wamekopi thailand
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nasikia thailand wamenikopi mimiNaskia Russia wamekopi thailand
Na USA wanacopy kipindi kimoja cha chinaNa TV za Ghana zime copy kile kipindi USA
Kuna demu anaitwa katarina karatu angalau yule anaweza nichekesha lakn sio hawa pilipiliHuyo kijana pilipili na mwenzake yule mchumba wa wema Huwa wanafosi kufanya comedy sema kipaji ndo hawana hayo mambo wamwachie mpoki na joti ndo wanayaweza!
Uko sahihi kabisa katarina kiukweli anakipaji huwa nacheka sana nikipitia page zake!Kuna demu anaitwa katarina karatu angalau yule anaweza nichekesha lakn sio hawa pilipili
Na huyo naye mbovu tu...Kuna demu anaitwa katarina karatu angalau yule anaweza nichekesha lakn sio hawa pilipili
Na China wanacopy kipindi kimoja cha television cha Iraq!Na USA wanacopy kipindi kimoja cha china
Mkuu "Churchill show" honeshwa station gani, najua ni show nzuri naiangalia u-tube ila sijui TV stationumaarufu kidogo alioupata unamsahaulisha kua "comedy designer" badala yake "dstv" ndo imekua designer wake....mb.uzi kabisa
kuna stand up comedy moja iko kenya inatwa "churchill show" pale kuna comedy ma hardworker toka waanze kunichekesha sijawahi kuona "marudio"
Haha Kweli wewe jambaziNa China wanacopy kipindi kimoja cha television cha Iraq!
umaarufu kidogo alioupata unamsahaulisha kua "comedy designer" badala yake "dstv" ndo imekua designer wake....mb.uzi kabisa
kuna stand up comedy moja iko kenya inatwa "churchill show" pale kuna comedy ma hardworker toka waanze kunichekesha sijawahi kuona "marudio"
Mpoki & ZembwelaTanzania stand up comedy MPOKI tu wengine hakuna kitu kama huyo piliSQUARE bora angeendeleza uticha tu angepata hata mafao mauzuri PSPF
[emoji23]Nasikia USA wamekopi Russia
[emoji817]
Yule ndio nafikiri ataweza hata kutukanwa hadharani, abaki tu kuwa kada wa chama na msemaji wa bongo movie na kukuwad....baadaye kidg.Nilisikia na steve nyerere nae anataka kuanzisha! duuuu....
inaoneshwa ntv mkuuMkuu "Churchill show" honeshwa station gani, najua ni show nzuri naiangalia u-tube ila sijui TV station
Na tv za Brazil zimecopy U.KNa USA wamekopi toka Brazil