MC Pilipili unaboa TV 1 kwa kukopi vichekesho toka Kenya

MC Pilipili unaboa TV 1 kwa kukopi vichekesho toka Kenya

Dah yani mpaka mc pilipili anakuchekesha we ni ke au me tuanzie hapo maana hana anachofanya zaidi ya ujinga kuchekesha yenyewe hajui yule
 
Huyo kijana pilipili na mwenzake yule mchumba wa wema Huwa wanafosi kufanya comedy sema kipaji ndo hawana hayo mambo wamwachie mpoki na joti ndo wanayaweza!
Kuna demu anaitwa katarina karatu angalau yule anaweza nichekesha lakn sio hawa pilipili
 
Mi nimeangalia mara moja tu
Nimegundua anakopi mwanzo mwisho japokuwa napenda vichekesho .. Creativity ni zero pasee .. anapoteza muda pengine kwa watoto under 10yrs wanaenjoy
 
Huyu jamaa anahitaji kubadilika watu washamchoka, vichekesho vyake vingi vimebase kwenye story za sijui akiwa shule mara mwalimu wake kafanyaje na blah blah kibao kuhusu story za sijui kidumu na fagio, abadilike awe mbunifu
 
umaarufu kidogo alioupata unamsahaulisha kua "comedy designer" badala yake "dstv" ndo imekua designer wake....mb.uzi kabisa
kuna stand up comedy moja iko kenya inatwa "churchill show" pale kuna comedy ma hardworker toka waanze kunichekesha sijawahi kuona "marudio"
Mkuu "Churchill show" honeshwa station gani, najua ni show nzuri naiangalia u-tube ila sijui TV station
 
umaarufu kidogo alioupata unamsahaulisha kua "comedy designer" badala yake "dstv" ndo imekua designer wake....mb.uzi kabisa
kuna stand up comedy moja iko kenya inatwa "churchill show" pale kuna comedy ma hardworker toka waanze kunichekesha sijawahi kuona "marudio"

Umeona ehh jamaa wako vizuri sana mwaka wa 4 nawaangalia ila sijawahii kuwachoka kila siku mambo mapya afu wa TZ wanaiba mpaka huko pia
 
Nilisikia na steve nyerere nae anataka kuanzisha! duuuu....
Yule ndio nafikiri ataweza hata kutukanwa hadharani, abaki tu kuwa kada wa chama na msemaji wa bongo movie na kukuwad....baadaye kidg.
 
Kingbach ndio my favorite comedian siku hiz hawa watz siwasomi kabsaa
 
Back
Top Bottom