Mc Pilipili utanisamehee kwa ukweli huu "huna kipaji cha kuchekesha"

Mpamire, Omondi na pilipili are on the same level.... Fuatilia show ya wakenya inaitwa Churchill mzee utakubali kabla hujaenda kimataifa kwa kina travor Noah
 
So long aliwafunika juzi Eric Omondi na Teacher Mpamire nadhani tumpe moyo na tuzidi kupenda vya kwetu.
Mpamire, Omondi na pilipili are on the same level.... Fuatilia show ya wakenya inaitwa Churchill mzee utakubali kabla hujaenda kimataifa kwa kina travor Noah
 


Aisee mandella umeongea point. Hakika huyu dogo analazimisha tu kukaa mjini, sioni ukomedy wake hata kidogo zaidi ya kubangaiza tu na kulazimisha kuwa a comedian. Hachekeshi wala nini.
 
Haha hata idris sioni anachofanya kwenye stand up comedy..

Povu ruksa


Nako ka Idriss ni another disaster....kajamaa wala hakachekeshi hata kidogo. Bongo comedians wengi hawajuwi maana ya comedy, utakuta kila kitu wao wanadhani ni comedy na ndipo wanapoboa watu hapa. Wengi wao hawajuwi kusoma alama za nyakati. Very pathetic of them.
 
mtoa post nakuunga mkono

Jamaa ana force tu indeed hana kipaji. Ndo maana nasema sometimes maisha ni bahati tu. Kapata zali tu kama tatizo mzuka basi. Hana comedy hana nini. He is just a lucky clown
 
Ila Diego Costa ni bonge la straika... Ile kampeni yake ya uchaguzi wa marudio hata haikufua dafu kwenye ufaulu wake katika kusma quran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…