beautybrain
Member
- Mar 8, 2016
- 38
- 35
yaah..kweli jaman hajui kuchekesha..lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gujarat, India.Anapatikana nchi gani huyu Mc pili pili!
Mpamire, Omondi na pilipili are on the same level.... Fuatilia show ya wakenya inaitwa Churchill mzee utakubali kabla hujaenda kimataifa kwa kina travor NoahSo long aliwafunika juzi Eric Omondi na Teacher Mpamire nadhani tumpe moyo na tuzidi kupenda vya kwetu.
Shambani.Anapatikana nchi gani huyu Mc pili pili!
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.
Haha hata idris sioni anachofanya kwenye stand up comedy..
Povu ruksa
Ahahahaha kwaio arudi bushAisee mandella umeongea point. Hakika huyu dogo analazimisha tu kukaa mjini, sioni ukomedy wake hata kidogo zaidi ya kubangaiza tu na kulazimisha kuwa a comedian. Hachekeshi wala nini.
Ha
Ahahahaha kwaio arudi bush
Kwani idris ni mchekeshaji.nauliza tu!Haha hata idris sioni anachofanya kwenye stand up comedy..
Povu ruksa
mtoa post nakuunga mkono
Sio mchekeshaji ni nani ati [emoji14]
Mduanzi flani hivi. Kajinga tu kale. Comedians wa maana ni Mpoki na Bambo tu. Sema mpoki ana majivuno siku hizi