Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
- Thread starter
-
- #21
Na tatizo ni moja ..Instagram zinawatengeneza Watu wenye Fake Talents " Vipaji Hewa" . Simply tu coz kule kuna Fake Funns , Fake likes , Fake Comments , sasa hii inatuketea shida pale muhusikia anayedhani kaiva anapokuja kukutana na uhalisia wa soko .Kinachowa cost hawa ma celeb wa kibongo ubunifu ni sifuri ni watu wa kucopy copy sana hawajui ili ukubalike unabidi uwe mbunifu lakini pia ushamba mzigo pilipili ni bonge la mshamba ukiangalia video zake akiwa uko usA mpaka aibu
Brand name haitaji nguvu kutengeneza ,hivyo usitudanganye kwa hilo .. Talent haitafuti followers kwa gharama , followers hutafuta talent kwa gharama.Kama wewe hakuchekeshi wapo wanaochekeshwa nae na ndio wanaolipa kiingilio kwenda kuchekeshwa.
Acha kuharibu brand za watu kisa wewe hufurahishwi nazo.....watu wanatengeneza majina kwa gharama kubwa halafu mnakuja kuchafua kirahisi rahisi.
Sio roho mbaya mkuu. Lazima aambiwe ukweli ili either aboreshe kazi yake au atafute kazi nyingine ya kufanya.Acheni roho mbaya kutibua office za mwenzenu kwani mmelazimishwa
Steve nyerere ni janga lingine. Abaki kuigiza sauti tuAisee mtoa mada ni kweli kabisa jamaa hamna kitu.Nilikuwa namuangalia kwa TV katika tangazo atakuwepo siku ya IDD pale King Solomon nikashangaa huyu aliefikiria kumualika jamaa aliwaza nini?au ndiyo kubebana?mara mia Steve Nyerere.