Anawachekesha kina nani wkt wanaolalamika hapa ni wabongo?Kwa level ya kibongo anajua sana tu kuchekesha
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.
NJAAAWell said
Huyu jamaa sio msanii anaforce kabisa yan
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.
Huyo idriss nae kafulia mpaka huruma yaani mtu upewe 600 millions na fame alafu mwishowe ugange njaa kwa kubaka talent za watu na kutangaza viredio vya vichochoroni?Na idris sultan pia ... Analazimisha fani
niongezee Senga tafadhali mkuuNchi hii comedian naturally ni Mpoki, joti, Bambo na kingwendu tu..wengne cjui wanachofanya