Mc Pilipili utanisamehee kwa ukweli huu "huna kipaji cha kuchekesha"

Mc Pilipili utanisamehee kwa ukweli huu "huna kipaji cha kuchekesha"

Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.

"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"

Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".

WEWE SI MCHEKESHAJI.

AHSANTENI.
 
Tuangalie wenzetu kenya wanchokifanya kwenye churchill akina mc tricky, butita, mc jessy na wengine kibao.... Sijaona stand up commedy tz we just pretending to be... Tuwe wabunifu.... Au Sijui nianze kufanya mwnyw
 
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.

"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"

Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".

WEWE SI MCHEKESHAJI.

AHSANTENI.

True yule anajichekesha mwenyewe
 
Alafu jamaa ana kisauti flani hivi KIBAYA ...anakuaga kama anapiga mayoe...

Ukitaka stand-up comedians...
Cheki na hawa...kervin heart,jemie fox,eddy muffy,rowans Atkinson (mr.ben) ,jimy carry,jay pharral,chriss rock

(Sina uhakika na spellings za majina yao)

Mpamile,omondi,masanja,mpoki,dogo pepe,bukuku evance,kansime,daywalker,

Ukimaliza hao woote ,njoo umuangalie Mc pilipili...hapo ndio utaunga mkono hoja hii ya mtoa mada.
 
Back
Top Bottom