Yuzhonai
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 303
- 67
Kweli kabisaHata kama mtasema hana kipaji, mie naheshimu sana jitihada yake aliyofanya hadi amefika hapo alipo.
Respect the hustle
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaHata kama mtasema hana kipaji, mie naheshimu sana jitihada yake aliyofanya hadi amefika hapo alipo.
Respect the hustle
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi ni mdada. Sijawahi muelewa.
NailedHata kazi ya kuwa Mc anaforce tu, haiwezi!
Yote kwa yote Tz hamna stand up comedy..
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.
Bora umenisemea brother, nilitamani kuja na uzi nikajua mapovu ya hapa ntapata hadi ya mipapai.Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.