Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Umenifurahisha sana, ushasema MC, au nikupe kirefu chake ni Master of Ceremony. Na kazi yake kuu ni kuwa mshehereshaji sio mchekesheji, unajua mchekeshaji yeye uandaa igizo liwe lefu au fupi litakalo wachekesha watu, na mc hupewa ratiba ya matukio linaanza hili, litafuata hili na la mwisho ni hili. Sasa kile kipindi cha kusubili tukio lianze, au ule muda watu wametulia kimya yeye kazi yake ni kufanya watu wasiboleke na tukio zima. Sasa basi mc hutoa vitu kichwani hapo hapo, vingine atabicopy yaani ni kazi ngumu kuliko unavyofikili. Nonachokuona hukuwa na nia mbaya, ila ulikuwa hautofautishi mc na comedy. Nikutakie jumamosi njema.Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.