OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
My name is teacher mpamire,ticha mpami-what?Welikamu welikamu mc wat? ??
dah mi nipo ila system ndo inazingua arif!Hata kazi ya kuwa Mc anaforce tu, haiwezi!
Yote kwa yote Tz hamna stand up comedy..
Naungamkono 100%binafsi nimejitahidi kumfuatilia sijaona kama mchekeshaji"kifupi mvamia fani..yaani sijuagi hata anawachekesha nini...hata tuseme kweli binadam huwezi pendwa na wote lkn kiukweli pilipili sio mchakeshaji..Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.
..mpokiSijawahi Kumkubali na nadhani nitakuwa wa mwisho kabisa Kumkubali tena kishingo upande. Tanzania nzima ina Wachekeshaji hawa tu....
Waliobaki ' wanajaribu ' tu.
- Mzee King Majuto
- Lucas Mhavile a.k.a Joti
- Masanja
- Kingwendu
- Bambo
- Mtanga
- Mkwere
..mpoki
Mkuu kama hata "Mboto, mpoki na "anko K" wa futuhi kwenye list yako hawapo ila kingwendu na bambo wapo basi list yako ni feki!Anajaribu tu ila hao Saba ( 7 ) niliowataja hapo juu ndiyo ' Mafundi ' watupu wa ' Uchekeshaji '.
Nchi hii comedian naturally ni Mpoki, joti, Bambo na kingwendu tu..wengne cjui wanachofanya
sijawahi cheka hata siku moja vichekesho vyake...anaigiza na sio anachekeshaWell said
Huyu jamaa sio msanii anaforce kabisa yan
[emoji23] [emoji23] umenikumbusha kanjunjuhivi kumbe huwa ni mchekeshaji?? Dooh mi nkajua mshereheshaji tu.
Kwa kweli kuchekesha hajui bora hata Kanjunju John