Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!

 
Duh hurumaaaaaaa
Mgogo alianza kwa kulia na anaendelea kulia
kwa uchungu sana imembidi afunguke
 
Sio Tena pisi kali? Mbona Ghagla sana bandugu?
 
Asitushauri sisi, kwake ndio liwe funzo, sisi hatuolei akili za nyege, hatuoi kisa mzuri sana, hatuoi kwa kuangalia matako, hivyo ni sifa za nyongeza, tunaoa mwanamke mwenye hadhi ya kuitwa MKE.
Anatushauri vijana ambao bado hatujaoa, nadhani ashapata funzo ndio maana natoa ushauri!
Nyinyi Malegendary mlishaona mbali kitambo na kusoma mchezo, mwana alikaribishwa mjini!
 
Ila Pilipili aliingia na gia ya umaarufu na pesa kwa huyu bidada, kingine sijui background ya bidada lakini kuna watu huwa wanataka kwa udi na uvumba kuwa waishi kwenye level fulani ya kifedha sasa ukimuonyesha kuwa una potential ya kuwa kwenye level hiyo atakuona wa maana siku ukianza kuonyesha hukumaanisha au pesa ikiyumba lazima naye lazima azingue
 
Shida alikurupuka kuchukua asie wa level yake.
Ofcourse kuna wanawake wana tamaa, lakini vijana wapunguze unrealistic expetation, why? Zitawapelekea kuchase madem ambao ni league above, na wanawake wa hivyo dont date down their level, even if akikubali atakusumbua in the future sababu you dont fit anachokitaka kwenye brain yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…