Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Nakumbuka mama yangu alinambia ukishaoa usimwonyeshe mwanamke kuwa pesa zako ndo nguvu........ Kuna siku ata nguvu ya kubwa ya pesa kutoka mahala pengine na utakosa mke......

Ishi katika uanaume wako, usimnyanyase binti wa watu, mtunze , mvishe, mlishe, muwekee limits kwa kila anachokitaka.....

Akasisitiza kuwa kiuhalisia hakuna mwanamke anayetaka kuwa na mtu asiye na kitu, so work hard Ila

Usioe makalio, sjui hips sura utalia...... Nawasilisha
Nimelia sana….msumari wa moto kwa Mc pili pili huu
 
Huyu dogo na mkewe siku ya harusi tu, jamaa anaambiwa na mchungaji fuatisha ninayosema:

Ikifika mahala kwenye mazuri, mabaya, magonjwa sijui tuwe pamoja yeye Mc na utoto wake maneno kama mabaya, magonjwa hayataji anabadirisha anatunga maneno yake.

Bkudfuken basi tu mfungishaji ndoa alikua na subira
Umenena braza hayo Yana ukweli
 
Ukiachilia mbwembwe zake zile za "forever and for always" Kipindi cha ndoa,

Yaliyomkuta ndio yanayoendelea mtaani na sio story, tofauti tu yeye ni maarufu na wengine hawajulikani. Na ninajua hapa kila mmoja atageuka kungwi hata kama alichokiacha nyumbani au kitandani anakijua kinavyomnyima usingizi.

Kwa hiyo Hakuna fundi wa ndoa au malezi bali ni kudra za Mungu tu
 
Is why wazee wetu huwa wanasisitiza koto kutangazana au kutangaza ndoa yenu au mahusiano
Mara nyingi wenye matangazo hawafiki mbali, no matter how much kiasi cha pesa wanakuwa nacho
 
Back
Top Bottom