Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Nakumbuka mama yangu alinambia ukishaoa usimwonyeshe mwanamke kuwa pesa zako ndo nguvu........ Kuna siku ata nguvu ya kubwa ya pesa kutoka mahala pengine na utakosa mke......

Ishi katika uanaume wako, usimnyanyase binti wa watu, mtunze , mvishe, mlishe, muwekee limits kwa kila anachokitaka.....

Akasisitiza kuwa kiuhalisia hakuna mwanamke anayetaka kuwa na mtu asiye na kitu, so work hard Ila

Usioe makalio, sjui hips sura utalia...... Nawasilisha
 
Asitushauri sisi, kwake ndio liwe funzo, sisi hatuolei akili za nyege, hatuoi kisa mzuri sana, hatuoi kwa kuangalia matako, hivyo ni sifa za nyongeza, tunaoa mwanamke mwenye hadhi ya kuitwa MKE.
Ndugu usiongee ukamaliza.....haya mambo hayana ujuzi....na watu hubadilika.....na bahati mbaya hubadilika wakati wewe unamuhitaji.....

Weka akiba ya maneno ndugu.....
 
Kidogo nafatilia celeb.... sasa Kuna siku pilipili akiwa na huyo mke wake sikumbuki kituo alichokuwa anahojiwa akaulizwa...... Kuhusu mahusiano akaanza kulia kama kawaida yake,

Mkewe na uso wa ki.. innocent akawa anambembeleza mumewe hapo Ila nikasema hapa kaaazii kweli kweli

Ndugu zangu katika Khabar Nifah Mwachiluwi
 
Tunawatolea wapi
 
Huyu dogo na mkewe siku ya harusi tu, jamaa anaambiwa na mchungaji fuatisha ninayosema:

Ikifika mahala kwenye mazuri, mabaya, magonjwa sijui tuwe pamoja yeye Mc na utoto wake maneno kama mabaya, magonjwa hayataji anabadirisha anatunga maneno yake.

Bkudfuken basi tu mfungishaji ndoa alikua na subira
 
Back
Top Bottom