Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Ni dada
Huyo mke wa pili pili sikuwaha najua kama mke wa pili pili, ila nilikuwa namuona sana Instagram, usema kweli pili pili ngoma nzito ile
wa insta...... Huko ndo makazi yake yalipo

Kwakweli nikishaoa Mimi mke wangu ishu za social nini hizo insta mara TikTok Tena kavaa tight tule twepesi mwingine yupo na hivi vikaptula na shati ........

Tutashindwana wallah
 
Vijana wanapenda vitu kama hivyo, ila ndani kuishi nae kama kujaribu kufuga koboko 😅😅
 
Huyu dogo na mkewe siku ya harusi tu, jamaa anaambiwa na mchungaji fuatisha ninayosema:

Ikifika mahala kwenye mazuri, mabaya, magonjwa sijui tuwe pamoja yeye Mc na utoto wake maneno kama mabaya, magonjwa hayataji anabadirisha anatunga maneno yake.

Bkudfuken basi tu mfungishaji ndoa alikua na subira
Umemuita dogo😀😀😀 sawa kaka mkubwa
 
Ukiachilia mbwembwe zake zile za "forever and for always" Kipindi cha ndoa,

Yaliyomkuta ndio yanayoendelea mtaani na sio story, tofauti tu yeye ni maarufu na wengine hawajulikani. Na ninajua hapa kila mmoja atageuka kungwi hata kama alichokiacha nyumbani au kitandani anakijua kinavyomnyima usingizi.

Kwa hiyo Hakuna fundi wa ndoa au malezi bali ni kudra za Mungu tu
Second you Sir
 
Back
Top Bottom