Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pili pili kataa ndoa tuko paleeee!!!!

Tunakula popcorn 🍿

Kuna watumwa wandoa watakuja watasema "Sio wote, wengine wapo vizuri"

Brooooooooooo!!!! Mc PILIPILI wakati anaoa alikua na mawazo kama uliyonayo wewe saiz. Stuka broooooo!!!!

Wanaume wenzangu tusiwe ni wazito sana kustuka ndugu zangu, ukioa mwanamke ambae mmekutana kimjini mjini, mfano chuo, au mwanamke anaefanya kazi, au ambae kipato mnaendana uwezekano wa kuachana ni 70% , sasa kuliko kubetia hiyo asilimia 30 iliyobaki ni bora usioe tu.

Na uki mu expose kwenye sosha network ndio kabisaaaa!!!!

Hapa bongo kuna watu wana hela brooo, demu wako atapewa ofa ya kwenda hapo Serengeti chupi inalowa ghafra, akienda huko ni full Fimbo tu, siku akirudi nyumbani hataki hata kuguswa anakwambia amechoka kumbe alichokutana nacho huko Serengeti ni balaa, wewe kila siku unaishia kusikiliza nyimbo za side A kumbe kuna wqtu side A wanasikiliza na side B mkeo anaimba pia.
Wazee wa hovyo
 
Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!

View attachment 3196832
Alijichanganya mwenyewe na Genye zake...Kanyooshwa sasa Atulie
 
Aisee, Kuna aliyeona chochote kwenye macho ya huyo dada kwenye picha?, hayo macho yake yanaonesha tafsiri Fulani, kama uko vizuri utajua namaanisha Nini.
Ebu enlighten us, sie wengine vichwa panzi akili zatutosha kuvuka barabara salama
 
Huyu dogo na mkewe siku ya harusi tu, jamaa anaambiwa na mchungaji fuatisha ninayosema:

Ikifika mahala kwenye mazuri, mabaya, magonjwa sijui tuwe pamoja yeye Mc na utoto wake maneno kama mabaya, magonjwa hayataji anabadirisha anatunga maneno yake.

Bkudfuken basi tu mfungishaji ndoa alikua na subira
Alikataa kusema kwenye shida na raha... yeye akasema kwenye raha tu sasa analalamika nini... kma anashida na amefilisika aishi kwenye kiapo chake
 
Huyu ndio alilia kwa kwikwi, Akawa hajiwezi wakati anaengage? 🤣🤣
Pale ndio alihamisha ufalme.
Kuanzia mwanzo niliona hii ni combination mbovu, na mwanaume ni mjinga kuliko mwanamke.

Hapa hana cha kutushauri,au kunishauri mimi. Ninachoamini ni mwanamke kachoka kuishi na mjinga. Una hela ndio lakini una ufala, sasa mtu akubali kuishi na ufala mpaka azeeke.

Wanawake tatizo lao wanaamini aah ana hela baadae ataacha uduanzi huyu mwamba, only to realize kuwa jamaa lake ni jitu la kuchovya(feki).
 
Asitushauri sisi, kwake ndio liwe funzo, sisi hatuolei akili za nyege, hatuoi kisa mzuri sana, hatuoi kwa kuangalia matako, hivyo ni sifa za nyongeza, tunaoa mwanamke mwenye hadhi ya kuitwa MKE.
Ongeza sauti kaka yangu watoto wa Afu mbili wakusikie..
 
Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!

View attachment 3196832
Alizidi ulimbukeni naye.
 
Back
Top Bottom