Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!

View attachment 3196832
Hizo ni shida zake sio zetu pole yake.
 
Sasa mzee mwenzangu, hivi usipojimwabafai mwanamke gani? Atakukubali? Yan kwny 100 utakuta ni wawili tena ambao hawakuvutii na unakuta ni singo maza. Turudi kwny maandiko hivi kama Shetani asije mdanganya Eva unadhani angekula tunda la katikati mzee
Inategemeana ni mwanamke wa aina gani na unamtaka kwa ajili ya nini..

Ukijimwambafai, mwanamke atapenda vile unavyojimwambafai navyo na sio wewe binafsi yani kitabia na haiba yako. Kwa hiyo mali ndio itakuwa kiunganishi, ikitokea umeishiwa au mwanamke kajipata lazma uachike na kama ni ndoa lazma akubadilikie kwa sababu hakukupenda Ila ulikuwa daraja la maslahi yake

Kama unahitaji tu wanawake wazuri wasiojilewa kwa kujistarehesha nao, endelea kujimwambafai Ila kama unataka "mwanamke mwenye substance", kujimwambafai ni disqualification
 
Hahahah huo ndio mtihani ambao wengi wanafeli. Mimi nilishawahi kushauri kumwekea mke kwenye probation period.
Hahaaaaaa cha msingi kuwa kawaida ili nae akuoneshe ukawaida wake. Ukiingia kwa mbwembwe za pesa na kuoa, kuna vitu atajitahidi kuvificha japo utaziona redlfags sometimes Ila hutoziamini kwa sababu ya telenovela atakayokuigizia.. Sasa ile time umefanya commitment ndio atakunjua kucha zake

Kwa hiyo kwangu mimi, mtu mwenye upendo, huruma na hofu ya mungu hawezi kukugeuka kiasi cha kumlaani. Kuwa real, upate kilicho real kwako, kuwa fake, upate kilicho fake kwako. Hivyo tu mkuu 😁
 
Sasa mkuu mimi niliamua kurudi home kuanza maisha upya nikaanza kufanikiwa nikawapita washkaji niliokua nao gheto mmoja akaanza kunipondea kwamba rudi mjini. Tuteseke wote si umerudi home (mimi Niko home nahudumia watu wanne yeye yupo mjini peke ake (nikagundua kumbe mtu akiwa anateseka natamani watu wote Tuteseke hvo ndo sifa!?? Kwamba wewe hunizidi nilishawahi Kulala njaa sku tano hii ndo sifa Tanzania
Ukweli ndio huo wabongo wengi wetu ni sadists ndio maana hata mtu mwenye mafanikio uswahilini automatically anageuka adui wa mtaa. Atachukiwa na kupigwa vita zote, iwe za kimwili na kiroho kwa sababu ya wivu na upofu wa kuzikumbatia shida kama ndio maisha

Kiufupi nilichokiona kwako. Unapiga hatua lakini hutaki kuachilia maisha ya nyuma kwa sababu unatamani uwainue wengine pasipo kufahamu kuwa kuinuka ni chaguo la mtu binafsi na kama ana haja hiyo, angekuomba ushauri.

Hivyyo bhasi, kubali kwenda juu na wale wanaotaka kwenda juu bila kusahau kujiweka karibu pia na watu wa level yako au walio juu yako ili upande juu zaidi.

Kujisacrifise kwa ajili ya wengine kumenigharimu sana sanaaaa na mbaya zaidi ukishuka, mtu wa kwanza kukusemea mbovu ni yule uliyemsaidia. Kwa hiyo mkuu yakubali maisha yako mapya ili upande zaidi na uache kutambia watu kwa sababu wanaona unawadhihaki. Ishi maisha yako kwa kuheshimu mipaka yako na mipaka ya wengine 🙏🏽
 
Inategemeana ni mwanamke wa aina gani na unamtaka kwa ajili ya nini..

Ukijimwambafai, mwanamke atapenda vile unavyojimwambafai navyo na sio wewe binafsi yani kitabia na haiba yako. Kwa hiyo mali ndio itakuwa kiunganishi, ikitokea umeishiwa au mwanamke kajipata lazma uachike na kama ni ndoa lazma akubadilikie kwa sababu hakukupenda Ila ulikuwa daraja la maslahi yake

Kama unahitaji tu wanawake wazuri wasiojilewa kwa kujistarehesha nao, endelea kujimwambafai Ila kama unataka "mwanamke mwenye substance", kujimwambafai ni disqualification
Sahihi kabisa mkuu
 
Shida alikurupuka kuchukua asie wa level yake.
Ofcourse kuna wanawake wana tamaa, lakini vijana wapunguze unrealistic expetation, why? Zitawapelekea kuchase madem ambao ni league above, na wanawake wa hivyo dont date down their level, even if akikubali atakusumbua in the future sababu you dont fit anachokitaka kwenye brain yake
Huwa nawaambia Vijana, wanawake wa staili hiyo ni wa kukula na kuacha. Usioe mwanamke ambaye atakusumbua fikra, unatakiwa uwe na room ya kufikiria Mambo Mengine!
 
Anaweza kulia ila maghetoni. Sio public, alie mahala ambapo yupo mwenyewe au Wana wake wa damu kabisa, Hadi uchungu uishe 😅😅. Ila hiyo public anazingua
Sifa ya mwanaume ni kupiga moyo konde.
Kwamba aah, kanikataa kisa sina hela baridi, ngoja nizisake kwa udi na uvumba, ukizipata unamrudia, unapiga PIPE kisha unamuweka kando.
 
Sasa wewe ndo unajichanganya huyo mke wa pili pili ana uzuri au matako yepi.
Simjui mkewe, Sasa kama hana tako, hana sura ya maana, HANA tabia za kuwa mke alimuolea nini, alirogwa, au alifinyiwa kwa ndani, alipewa mtaro wa maji taka, alinyonywa kende kwa pipi kifua ama walimfanya nini, alipewa stail ya mzaramo kajisaidia kichakani ama? 😂🤣
 
Nashukuru ulichosema ni Sawa nilitaka kumnyanyua mshkaji Ila nikaona Huyu analeta mzaha Ila Sasa Nimejifunza kukaa kimya
Ukweli ndio huo wabongo wengi wetu ni sadists ndio maana hata mtu mwenye mafanikio uswahilini automatically anageuka adui wa mtaa. Atachukiwa na kupigwa vita zote, iwe za kimwili na kiroho kwa sababu ya wivu na upofu wa kuzikumbatia shida kama ndio maisha

Kiufupi nilichokiona kwako. Unapiga hatua lakini hutaki kuachilia maisha ya nyuma kwa sababu unatamani uwainue wengine pasipo kufahamu kuwa kuinuka ni chaguo la mtu binafsi na kama ana haja hiyo, angekuomba ushauri.

Hivyyo bhasi, kubali kwenda juu na wale wanaotaka kwenda juu bila kusahau kujiweka karibu pia na watu wa level yako au walio juu yako ili upande juu zaidi.

Kujisacrifise kwa ajili ya wengine kumenigharimu sana sanaaaa na mbaya zaidi ukishuka, mtu wa kwanza kukusemea mbovu ni yule uliyemsaidia. Kwa hiyo mkuu yakubali maisha yako mapya ili upande zaidi na uache kutambia watu kwa sababu wanaona unawadhihaki. Ishi maisha yako kwa kuheshimu mipaka yako na mipaka ya wengine 🙏🏽
 
Huyu dogo na mkewe siku ya harusi tu, jamaa anaambiwa na mchungaji fuatisha ninayosema:

Ikifika mahala kwenye mazuri, mabaya, magonjwa sijui tuwe pamoja yeye Mc na utoto wake maneno kama mabaya, magonjwa hayataji anabadirisha anatunga maneno yake.

Bkudfuken basi tu mfungishaji ndoa alikua na subira
Pilipili sio dogo kabisa. Mwaka 2004 kamaliza Dom sec. Anacheza kwenye Floor ya tatu mwishoni au ya 4 kabisa
 
Hao wanawake wasio na tamaa kwa sasa kwenye hii sayari dunia utawapata wapi?!
Huenda hawapo ila mwanaume anapokuwa na pesa isiwe anajimwambfy kupitiliza kwa mwnamke amtakaye. Tukumbuke Hawa alikuwa na kila kitu pale Eden alikuwa akimuona mumewe akiongea na Mungu na bado alipokuja shetan alipiga naye story vizuri tu na kilichotokea imebaki historia.
 
Hakujua kuna wanawake wa starehe na wanawake wa kuoa,yeye kaoa mwanamke wa sterehe,kwanza alikosea sana,maana aliweka kauzibe.Oa mwanamke wa kawaida,hao wenye mashepu na sura nzuri sana,wawe wa kuwachapa tu.Usiwe na hatimiliki.Wengi wao hawajielewi.
 
Back
Top Bottom