Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Shida siku anamuoa huyo dada aliwazihaki X zake eti wamezeeka wataolewa na nani.😀chakushangaza x zake wote ndoa zao tamu yake inapumulia machine.
 
Nimejifunza kitu Ila maana mm mwnyw napenda mademu wakali alafu pesa changamoto nilishawahi kupenda demu mmoja tukiwa Chuo alafu kuna lecture mmoja alikuwa na cheo kikubwa tu akamwelewa🤣Dah namaliza Chuo demu Ana Kazi mimi bado nipo mtaani sijakaa Sawa demu kanunua gari mm basi nipo mtaani, sijakaa Sawa nikapiga smu naulizwaw wewe nani
Hiyo akili mwanawane. Tit for tat no stresss
 
Akijipata mkiwa katikati ya ndoa utamuacha brother,

Napata point yako Ila tu tuwe makini kwenye kuchagua, kuweka muonekano, possessions na luxury mbele kuliko kuijua tabia na moyo wa mtu lazma itugharimu
Hahahah huo ndio mtihani ambao wengi wanafeli. Mimi nilishawahi kushauri kumwekea mke kwenye probation period.
 
Nimejifunza kitu Ila maana mm mwnyw napenda mademu wakali alafu pesa changamoto nilishawahi kupenda demu mmoja tukiwa Chuo alafu kuna lecture mmoja alikuwa na cheo kikubwa tu akamwelewa🤣Dah namaliza Chuo demu Ana Kazi mimi bado nipo mtaani sijakaa Sawa demu kanunua gari mm basi nipo mtaani, sijakaa Sawa nikapiga smu naulizwaw wewe nani
Kiliumana
 
Akijipata mkiwa katikati ya ndoa utamuacha brother,

Napata point yako Ila tu tuwe makini kwenye kuchagua, kuweka muonekano, possessions na luxury mbele kuliko kuijua tabia na moyo wa mtu lazma itugharimu
Sasa mzee mwenzangu, hivi usipojimwabafai mwanamke gani? Atakukubali? Yan kwny 100 utakuta ni wawili tena ambao hawakuvutii na unakuta ni singo maza. Turudi kwny maandiko hivi kama Shetani asije mdanganya Eva unadhani angekula tunda la katikati mzee
 
Asitushauri sisi, kwake ndio liwe funzo, sisi hatuolei akili za nyege, hatuoi kisa mzuri sana, hatuoi kwa kuangalia matako, hivyo ni sifa za nyongeza, tunaoa mwanamke mwenye hadhi ya kuitwa MKE.
Exactly, kaja mjini katukuta kajibebea makulubembe haya yenye gubu na body count za kutosha anajifanya anawashauri watu , unaenda kubeba janamke la kitambaa cheupe sinza unategemea nini, keshatoa mbwa na kila aina za pipe unategemea nini ?.. mwambieni jamaa daslama sio dodoma huku mademu wanaweza kukuectia ukajaa kwenye mfumo ukapigwa na kitu kizito, akae kitaalamu, alafu asiogope kuachana na mwanamke malaya na mwenye tamaa sio dhambi hata kama yuko na shindu kama nikolejoyberry.
 
Nimejifunza kitu Ila maana mm mwnyw napenda mademu wakali alafu pesa changamoto nilishawahi kupenda demu mmoja tukiwa Chuo alafu kuna lecture mmoja alikuwa na cheo kikubwa tu akamwelewa🤣Dah namaliza Chuo demu Ana Kazi mimi bado nipo mtaani sijakaa Sawa demu kanunua gari mm basi nipo mtaani, sijakaa Sawa nikapiga smu naulizwaw wewe nani
Ah wenzetu mbususu zao tayari mtaji mwanawane so huwezi jiringanisha na mwanamke.
Wee tule mbusush hizi za buku 7 tuenjoy life. Maisha ye yewe ndio haya haya
 
Mkuu hili ni fumbo, huwa nawaza pia ikitokea mwenzi aki change ndoani itakuwaje tena kwa hizi ndoa za kikristo?
Na kwa mabinti wa sasaiv awapi.
Mwanamke wa kwenye uchumba ni mwanamke tofauti na wa kwenye ndoa. Kama kuna tabia huzikubali na huwezi kuzivumilia mkiwa wachumba basi usioe, kwenye ndoa inaweza kuwa mbaya zaidi.
 
Tatzo lilianzia hapa hivi wewe mwanamke Atongoze CPA kitaifa tena Udsm.?? Hapo kuna usalama kweli nakumbuka alipewa zawadi 10M na akasifiwa sana navojua mafisi lazima maboss yalitikisa kibiriti kwa demu wa mwamba, huwezi jua hyo CPA labda alitoa

kibumbu
Nafikiri tatzo mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji
Alidai Mungu alianza kumuumba kwanza Mwanamke. Hiyo yote ni katika harakati za kumsifu mzazi mwenzake.
 
Attachments

  • Screenshot_20250110_091048.jpg
    Screenshot_20250110_091048.jpg
    207.9 KB · Views: 3
Ah wenzetu mbususu zao tayari mtaji mwanawane so huwezi jiringanisha na mwanamke.
Wee tule mbusush hizi za buku 7 tuenjoy life. Maisha ye yewe ndio haya haya
Sasa Tatzo huwez kupita peku peku kama mpoto kwa mademu wa buku saba Ata kunyweshana saliva ni tz unakuta 😅unawaza labda demu kapigishwa Bj na muhuni huko
 
Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!

View attachment 3196832
Hao Wanawake wasio na tamaa katika miaka hii ya Sasa wanapatikana wapi?
 
List ni ndefu

Nikki wa pili
Mc pilipili
Mabeste
Ben paul
Ay

Hawa wote 👆🏻 walikutana na kitu kizito
Wakijikusanya wote wakapewa nafasi ya kumpigia kura mgombea mmojawapo wa CHADEMA lazima mgombea achukue uenyekiti maana ni wengi kinyama.
 
Back
Top Bottom