Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Makosa yalikua kama 5 au 6

Utamadunii wa kupiga goti,
Michozi ya kike live live🤣
kushindwa kujikaza,
mpka mwanamke akamuinua, kisha Akambembeleza kifuani.
Akalia kwa kwikwi.
😂😂🤓🤓🤓🤓 nilicheka sana siku ile na aibu juu aisee
 
Nilisha sema na nna rudia. Mwanamke anataka mwanaume Super Power (turbo) hata siku moja mwanaume usije dhani ukitia huruma mwanamke ndo atakupenda 😅😅
This is not the only principle to apply in marriage. Unaweza kuwa mbabe, jeuri na fedha zako na bado mwanamke akakuacha kwa 7bu anazozijua yeye. No matter how smart you are, that's not the key factor to controll marriage or relationship. Ndoa nyingi na mahusiano mengi kwa sasa yanavunjika kwa 7bu rahisi sana na zisizotarajiwa japo kwa %ge kubwa suala la kipato/fedha linachukua sehemu kubwa.
 
Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!

View attachment 3196832
Mtapeana ushauri sana kwa ulimbukeni wenu, tena ashukuru yeye ameweza hadi kusema ukweli. Wenzie wanalia kimyakimya, wanaona haya.
 
Mwaka 2018 -2020 tulisumbuliwa sana na washamba watatu kutuonesha mademu zao.

Mc Pilipili, Pastor Msanii na DC.

Wote walipigwa na chuma kizito.

Sema umaarufu na hela sometimes sio gundi ya kuwanasa mademu.

Me naamini kuishi low-key ndio kila kitu
Noma sana
 
Mtapeana ushauri sana kwa ulimbukeni wenu, tena ashukuru yeye ameweza hadi kusema ukweli. Wenzie wanalia kimyakimya, wanaona haya.
Nifah mbona unatupalia mkaa tena, Mc Pilipili hakujua yajayo yatakuwajee kama alijua basi kosa lake or alitumia nguvu to keep her (money) hiyo ndo outcome or else binadamu hatabiriki
 
Sometimes ni true hivi ukimchek mke wa Janabi, mke wa bashungwa, mke wa ndugu lile, mke wa mbowe, mke wa mwigulu hawapo exposed sana Ila mwanangu ni pisi za kwenda kichizi

Back
Top Bottom