Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Asitushauri sisi, kwake ndio liwe funzo, sisi hatuolei akili za nyege, hatuoi kisa mzuri sana, hatuoi kwa kuangalia matako, hivyo ni sifa za nyongeza, tunaoa mwanamke mwenye hadhi ya kuitwa MKE.
Sisi tunao oa wanawake wenye sifa za kuwa wake, hata wakiwa na sura za baba zao- hatujali. Wale mnaotaka sifa za kipumbavu kwa kuamua kuoa sura za kimiss na matako makubwa endeleeni. Kupanga ni kuchagua. Ila maji yakiwafika shingoni msije huku mnalialia. Endeleeni kupambana na hali zenu.
 
Kumbe vilio vya engagement havikuishia siku ile, pumbavu kabisa huyu 😆😆🚮🚮
IMG_1328.jpeg
 
MC Pilipili na homeboy Nikki wa II wana mengi ya kusimulia kwenye haya mambo. Ila nao waridhike wasiwe kama Mbowe kukaa madarakani bila kikomo. Muda wao wa kumiliki hizo mashine umepita wawaachie wengine.
List ni ndefu

Nikki wa pili
Mc pilipili
Mabeste
Ben paul
Ay

Hawa wote 👆🏻 walikutana na kitu kizito
 
Sisi tunao oa wanawake wenye sifa za kuwa wake, hata wakiwa na sura za baba zao- hatujali. Wale mnaotaka sifa za kipumbavu kwa kuamua kuoa sura za kimiss na matako makubwa endeleeni. Kupanga ni kuchagua. Ila maji yakiwafika shingoni msije huku mnalialia. Endeleeni kupambana na hali zenu.
Tako sura titi muhimu mwanawane.
Yaani nioe sura mbaya huku roho inataka tako zuri...hapana aise.
Muhimu jamani wanawake wazuri nao wanataka matumizi makubwa basi
 
Jamaa akawaachia wavaa kaunda suti wa dodoma wale jamaa hawa cheki cheki nao tano tu anapewa M5😅 Sasa yeye anajichekesha kmmk
Mwache ukiona mwanaume wakat wa ndoa anapiga goti ujue hakuna kitu ukiona mwanaume ana angaika na engagement ujue anaendeshwa na mwanamke mwanaume unatakiwa uwe na sauti kinacho mkalisha dodoma ni nini? Kama hana kazi akufwate ulipo alfajir umeshikwa upwiru unatibu wapi? Na mke yupo dodoma
 
Ni vizuri kujutia makosa ulofanya kwenye maisha yako, lakini haya mambo ya mahusiano sioni sababu kwa mwanaume kuyaweka wazi mitandaoni tena ukimlaumu mwanamke wako eti ana tamaa...akikuzingua we malizana nae kimya kimya mwache aendelee na maisha yake na wewe endelea na maisha yako, piga kimya kiume. Sasa huyu pilipili anaanza mipasho ambayo mwanamke ndo alitakiwa kuongea, sasa hapo mwanamke ni nani kati yao?! Implication yake ni kwamba jamaa ndo loser kwenye hiyo battle ndo maana anaongea ongea mitandaoni ovyo mambo ya ndani na mke wake.
Jamaa alipenda to maximum, na hakuwa na plan B.. anachopitia ni Hali ya kawaida kabisa kwa mtu ambae alimaliza mwendo na kujikuta hana option.. anatapatapa.. anahisi akifanya kitu flani kinaweza okoa jambo ila imeisha enda hiyo
 
Back
Top Bottom