Nakumbuka yule demu aliwahi kusema mwanzoni Pilipili sikumpenda sikuchumkulia siriazi baadae ndo ni kaanza kumwelewa. Kwa uzoefu demu akisema hivo mbele yako jua anakumudu sanaAhahahahah we fala nimecheka kisenge, mwamba aliingia sehemu sio. Iyo manzi ni level zingine aseee. Inaitaji mtu mwenye msuli haswa ,,kwa kazi yake ile ya ukomedi kwa sasa amechuja kuna vijana wapya kwenye industry, manzi lazima alete mapicha picha