Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc pilipili ni Simp😄 na hio tabia ndio imemcost. He aint got balls
 
Mwaka 2018 -2020 tulisumbuliwa sana na washamba watatu kutuonesha mademu zao.

Mc Pilipili, Pastor Msanii na DC.

Wote walipigwa na chuma kizito.

Sema umaarufu na hela sometimes sio gundi ya kuwanasa mademu.

Me naamini kuishi low-key ndio kila kitu
Kitakachomfanya mwanamke adumu na mwanaume ni kuwa character ya kiume
 
Kikubwa oa mke unayemmudu
 
He
Huwa sina azoea ya kuwasema wana katika haya ambo....ila huyu fala alituaibisha sana
 
Ukienda huko swahilini wako watu wanakipato kidogo sana na bado ndoa zinadumu

Na kuna wana fedha ila hawadumu kwenye mahusiano na ndoa
Fedha ni muhimu sana kwenye mahusiano hasa mwanzoni ili mahusiano yadumu mda mrefu yanahitaji kitu kikubwa sana zaidi ya fedha ambayo ni chemistry/bond

Chemistry ikiwa hamna mahusiano ni ngumu sana kudumu-chemistry ikiwepo hata mkiachana mnajikuta mmerudiana tena
 
Umemaliza mjadala ufungwe na mimi na kuongeza ni kwamba mkiwa na ile bond huwa kuna mahali inafikia mnaanza kufanana Ata kisura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…