Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Sasa mkuu mimi niliamua kurudi home kuanza maisha upya nikaanza kufanikiwa nikawapita washkaji niliokua nao gheto mmoja akaanza kunipondea kwamba rudi mjini. Tuteseke wote si umerudi home (mimi Niko home nahudumia watu wanne yeye yupo mjini peke ake (nikagundua kumbe mtu akiwa anateseka natamani watu wote Tuteseke hvo ndo sifa!?? Kwamba wewe hunizidi nilishawahi Kulala njaa sku tano hii ndo sifa Tanzania
Sikutaka kuongea hili Ila hata mimi binadamu nawajua haswa wanaoitwa marafiki,

Kiuhalisia ni nadra kupata rafiki ambaye atapenda upige hatua kuliko yeye kimaisha na hii ni kwa sababu ya wivu. Kibaya zaidi wachache watapambana zaidi ili kukufikia Ila wengi watakuchukia kimya kimya na wachache huwa wanaenda extra miles kukuharibia

Pia kutambia watu sio tabia nzuri kwa sababu huwa ni show off, inawafanya watu wajihisi vibaya kuliko vizuri. Kama unamkubali rafiki yako na unataka afanikiwe, mpe channels lakini kuwa makini, lazma ujiaminishe kuhusu tabia zake lakini pia usitoe msaada au ushauri kama hujaombwa. Balance shobo zako ba ujifunze kutunza siri zako, itakisaidia sana mkuu 🙏🏽🙏🏽
 
Back
Top Bottom