Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Sasa mkuu mimi niliamua kurudi home kuanza maisha upya nikaanza kufanikiwa nikawapita washkaji niliokua nao gheto mmoja akaanza kunipondea kwamba rudi mjini. Tuteseke wote si umerudi home (mimi Niko home nahudumia watu wanne yeye yupo mjini peke ake (nikagundua kumbe mtu akiwa anateseka natamani watu wote Tuteseke hvo ndo sifa!?? Kwamba wewe hunizidi nilishawahi Kulala njaa sku tano hii ndo sifa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…