Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Wazee wa hovyo
 
Alijichanganya mwenyewe na Genye zake...Kanyooshwa sasa Atulie
 
Huyo hana Cha kutushauri sisi, Cha muhimu audhurie vikao(kama asemavyo bashite 0 brain)
 
Aisee, Kuna aliyeona chochote kwenye macho ya huyo dada kwenye picha?, hayo macho yake yanaonesha tafsiri Fulani, kama uko vizuri utajua namaanisha Nini.
Ebu enlighten us, sie wengine vichwa panzi akili zatutosha kuvuka barabara salama
 
Alikataa kusema kwenye shida na raha... yeye akasema kwenye raha tu sasa analalamika nini... kma anashida na amefilisika aishi kwenye kiapo chake
 
Huyu ndio alilia kwa kwikwi, Akawa hajiwezi wakati anaengage? 🤣🤣
Pale ndio alihamisha ufalme.
Kuanzia mwanzo niliona hii ni combination mbovu, na mwanaume ni mjinga kuliko mwanamke.

Hapa hana cha kutushauri,au kunishauri mimi. Ninachoamini ni mwanamke kachoka kuishi na mjinga. Una hela ndio lakini una ufala, sasa mtu akubali kuishi na ufala mpaka azeeke.

Wanawake tatizo lao wanaamini aah ana hela baadae ataacha uduanzi huyu mwamba, only to realize kuwa jamaa lake ni jitu la kuchovya(feki).
 
Asitushauri sisi, kwake ndio liwe funzo, sisi hatuolei akili za nyege, hatuoi kisa mzuri sana, hatuoi kwa kuangalia matako, hivyo ni sifa za nyongeza, tunaoa mwanamke mwenye hadhi ya kuitwa MKE.
Ongeza sauti kaka yangu watoto wa Afu mbili wakusikie..
 
Alizidi ulimbukeni naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…