TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

duu! kama kweli zamu ijayo itakuwa ya nape!! kweli mungu adhihakiwi eti lowasa mgonjwa atakufa mda si mrefu sasa katangulia yeye duu!
 
Mpango wa Lowassa huo.
 
ni kweli jana alikuwa njonbe kumnadi mgombea wake akamtukana sana luwasa asijue nani kaiona kesho
 
Sasa tusishindane na MUNGU,Tukaishi chini ya laana,tumchague LOWASA ni mtu ambae mtetezi wake yu hai,anachofanya ni kukaa kimya,mtetezi wake MUNGU anamtetea.Magufuri kama ana mheshimu na kumuogopa MUNGU ajiunge na lowasa kwa maslahi ya nchi hii,la kama anaona maslahi ya ccm nibora kuliko ya nchii aendelee kupiga pushap tu.
 
"Hauwezi kujiona special hata uwe mrefu vipi hauwezi kuiona kesho"...Wanaomtukana Lowassa kuhusu afya Kuna Kitu cha kujifunza hapa.

Cc: Renatus Mkinga , Makonda.
 
Huyu Mtikila aliyekuwa akisema kuwa Lowassa Mgonjwa siku ya Jumapili au mwingine!

Hii taarifa yaweza kuwa ya kubuni!

Kama kweli basi Mungu ana maajabu kweli!
Sasa naanza pata picha ya kauli ya Mengi "mafisadi wanatengeneza vifo vya watu kupitia ajali'. Hata hivyo kila nafsi itaonja mauti.
 

Mkangara! Hebu fafanua hapa na uombe radhi upesi sana.
 
Raha ya Milele umpe ee bwana- RIP Rev. Mtikila
 
Kama humwamini MUNGU hadi sasa na basi matukio yakufundishe namna njema ya kumfuata MUNGU,ss si kitu mbele ya BABA WA MBINGUNI.Ni yeye aliyesema tutakufa ikiwa ni pamoja na mm na wewe,katika maisha tusijigeuze kujua kuliko MUUMBA MWENYEWE ni hatari kwa maisha yetu.Nawaombea wote waliokufa ktk nyakati hz MUNGU MWENYEZI awasamehe dhambi zao maana kimtokacho mtu ndicho humfanya kuwa najisi ni si kimuingiacho,Ndio maana chakula hakimfanyi mtu atukane ila roho ile ya yule mwovu shetani inapomwingia mtu.Apumzike kwa amani.
 
Mungu ailaze roho yake pema.....

Mungu alitoa nayeye ndie ametwaa
 

humu jamvini kuna wakristo basi waganga njaa tu wamejaa w anaodhani Lowassa akiingia ikulu basi na mambo yao yamenyooka. Mungu wa kisasi ni Mungu gani huyo? kweli watu wamefungwa ufahamu juu ya MUNGU wa kweli kwa k utegemea wanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…