Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tuweke mbali siasa jamani huu ni msiba familia yake ipo kipindi gumu r.i.p mchungaji mtikila
Mpango wa Lowassa huo.Jamani, hii imenikata maini! Nimemsikia mwenyewe mchungaji Mtikila akimkashfu Lowassa kuhusu ugonjwa...tena alisema hivi, "Nimefurahishwa na tafiti za Twaweza maana Watanzania wameonyesha kuwa awalitaki jitu ligonjwa"....Leo kafa yeye!!! Lowassa shikamoo...hakika Lowassa ni mpango wa Mungu. Yani tunapatiwa majibu hapa hapa!
Naanza kumwogopa Lowassa, huenda ana mambo ya ajabu ajabu.....
jamani dhibitishe kwanza,mbona kama uzushi
Sasa naanza pata picha ya kauli ya Mengi "mafisadi wanatengeneza vifo vya watu kupitia ajali'. Hata hivyo kila nafsi itaonja mauti.Huyu Mtikila aliyekuwa akisema kuwa Lowassa Mgonjwa siku ya Jumapili au mwingine!
Hii taarifa yaweza kuwa ya kubuni!
Kama kweli basi Mungu ana maajabu kweli!
Duh. Kuna nini ? Mkangara alisema Lowasa ni mgonjwa Akafa yeye,Mtikila alisema Lowasa ni mgonjwa Amekufa yeye, bado wengine kama 3 wanaomsakama lowasa kwa ugonjwa na ni bahati Mtikila aliondolewa kwenye kinyang,anyilo cha Urais muda huu uchaguzi ungehairishwa hadi January 2016
Chinembe ni Mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.
Kama huyo Mungu wa Lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.
Bwana wetu Yesu Kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema Baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo Mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya MSALABA???
Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya Mungu zitaenda kwa AMANI. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni KISASI cha Bwana.
Queen Esther