mtamaushi2
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 403
- 389
Pamoja na kwamba watu wana mtizamo tofauti kisiasa nadhani si vyema kushabikia umauti wa mtu mwingine
Unakataa nn na unakubali ni Mungu wa visasi teh tehChinembe ni Mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.
Kama huyo Mungu wa Lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.
Bwana wetu Yesu Kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema Baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo Mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya MSALABA???
Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya Mungu zitaenda kwa AMANI. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni KISASI cha Bwana.
Queen Esther
Kuna maelfu kwa maelfu hawamuungi mkono Lowassa, kuna wachache wameenda mbele zaidi na kuchukua nafasi ya Mungu kwa Kumwita Lowassa ni Marehemu, Lowassa ni Jeneza, cha kushangaza na kusikitisha ni hawa wachache kutangulia wao kwa kumwacha yule wanayemwita Marehemu au Jeneza linalotembea! Kwa hili, mjifunze! Ila mkiendelea na Kushupaa na kuwa vipofu ya yanayoendelea, hamna namna mtakayopona! Mungu akurehemu na kukufungua ili uweze kuona na kufahamu yeye ni MUNGU wa aina gani!
nasikia uchaguzi unasogezwa mpaka february
===>Haya mambo yenu ya kuambiana sijui nani mgonjwa anaumwa,naona sasa yaishe,hakuna anaeijua kesho yake,tuwe na adabu na watu!
Chadema mnapofurahia kifo hiki itabidi uchunguzi mkali uunganishe na dots za kifo cha Chacha Wangwe, inaonyesha mlivyofurahi basi kuna kitengo cha mambo hayo hapo kwenu, haiwezekani mfurahie msiba. Na ICC iunganishe matukio haya.
Mtikila hakuwa mgombea, hvyo hamna effect yoyote
aise
ila mtoto wa she yahya alitabir kwamba mgombea mmoja wa urais atakufa
mtikila hakuwa mgombea wa uraisi