TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Hakuna ajuaye kesho hapa duniani hata wanasayansi wameshindwa hili ingikuwa mtu anajua kesho basi angekikimbia kifo, jaman tuchunge maneno yetu kwa wenzetu maisha haya ni mafupi tena ni nusu kijiko tu kila mtu na siku yake mungu GOD IS WATCHING US.
 
Chinembe ni Mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.

Kama huyo Mungu wa Lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.

Bwana wetu Yesu Kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema Baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo Mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya MSALABA???

Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya Mungu zitaenda kwa AMANI. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni KISASI cha Bwana.

Queen Esther
Unakataa nn na unakubali ni Mungu wa visasi teh teh
 
Serikali ifanye uchunguzi mkubwa ili kubaini chanzo cha ajali iliyopoteza maisha ya Mwenyekiti wa chama cha dp mch Christopher mtikila hasa katika kipindi hiki kigumu cha uchaguzi. R.I.P MTIKILA
 
Kuna maelfu kwa maelfu hawamuungi mkono Lowassa, kuna wachache wameenda mbele zaidi na kuchukua nafasi ya Mungu kwa Kumwita Lowassa ni Marehemu, Lowassa ni Jeneza, cha kushangaza na kusikitisha ni hawa wachache kutangulia wao kwa kumwacha yule wanayemwita Marehemu au Jeneza linalotembea! Kwa hili, mjifunze! Ila mkiendelea na Kushupaa na kuwa vipofu ya yanayoendelea, hamna namna mtakayopona! Mungu akurehemu na kukufungua ili uweze kuona na kufahamu yeye ni MUNGU wa aina gani!


Kabisaaa... umenena vema..!!!

Watu wanamuita Lowassa majina hakika huwezi vumilia kuyasikia...!!!

Mfano Nape, Kigwangala, Bulembo, Msukuma, etc walimuita Lowassa majina ya KIFO kabisa...!!!

Hili ni funzo... Mungu ndie anajua MAUTI YAKO LINI...!!!
 
R I P Mchungaji Mtikila.
Ntakumiss sana na vituko vyako
 
kifo si jambo la kushadadikia hata kama linamkuta adui yako sote n wa njia moja R.I.P MCHUNGAJI
 
Mungu akikupoint wewe huwezi mzuia hii ni kama Musa alivyowatoa wa israel utumwani kuwapeleka kaanani kila aliyejaribu kuwazuia alipigwa, kuna jambo kubwa sanah la kujifunza kuhusu kumkashifu na kumtukana lowasa, Mungu anakazi naye afya yake kila siku inaimalika ila kila anayejaribu kumdhihak anaadhibiwa,. Mungu ailaze mahali pema roho ya mtikila.
 
Chadema mnapofurahia kifo hiki itabidi uchunguzi mkali uunganishe na dots za kifo cha Chacha Wangwe, inaonyesha mlivyofurahi basi kuna kitengo cha mambo hayo hapo kwenu, haiwezekani mfurahie msiba. Na ICC iunganishe matukio haya.

Na bado hazijakuingia vizuri 🙂
 
Mtikila hakuwa mgombea, hvyo hamna effect yoyote

Nashukuru sana kiongozi, ila endapo ishu kama hii itatokea, SIOMBI ITOKEE, ila hii ya Mch. Mtikila imenifanya niwe mdadisi, katiba inasemaje?
 
aise
ila mtoto wa she yahya alitabir kwamba mgombea mmoja wa urais atakufa

Wala Siyo Huyu Subiria Ndani Ya Wiki 2 Zijazo UTABIRI Wa Mtoto Wa Shekhe Yahya UTATIMIA. Mchungaji Nae ALIJISAHAU MNO NA KUJUA KUWA YUPO KTK VITA KALI YA KITANZANIA NA KINYARWANDA. Najua Sasa Kuwa Yule BINGWA WA KUFANYA UMAFIA Hapa Tanzania Mgombea Fulani Sasa ATAFANYA MKAKATI KUWA IONEKANE au UVUMI UENEE KUWA Ni MPANGO LABDA ULIOSUKWA Na Serikali Ya Rwanda ILI Tu KUWAHADAA Watanzania ILA Kwa TUNAOMFAHAMU Tokea UMAFIA Wake Kwa Dr. Mwakyembe Na Professor Mwandosya Wala HATUSHANGAI. Mchungaji ALIPASHWA KIPINDI HIKI AWE VERY CAREFUL Na ASIAMINI MTU YOYOTE Na MLIOBOBEA KTK MEDANI Za INTELLIGENCE MTAKUBALIANA Nami KUWA SIKU ZOTE MPANGO OVU WA KUKUDHURU HUPANGWA NA HURATIBIWA NA WATU VERY LOYAL TO YOU BILA YA WEWE KUJIJUA. Ni Mpango Wa MUDA MREFU NA MBINU ZA KIMAFIA ZIMETUMIKA KWA 100%. Na ALIPOKOSEA TU NI PALE ALIPOKUWA ANATOA KASORO PANDE ZOTE MBILI KWA MPIGA PUSHAPU ZA MBINJUKO NA WA KUSHIKWA NA HAJA KUBWA KILA MARA. Kwa MEDANI Za KIJASUSI UKIWA KTK HALI HII KAMWE HUWEZI KUBAKI SALAMA. Mtikila ALIPASHWA AAMUE TU MOJA KWA MOJA ANAKUWA UPANDE GANI HII INGEMUWEKA SALAMA MNO HASA KIUSALAMA ILA NA YEYE ALITANGATANGA SANA KWA UNAFIKI WAKE. HAJAMWONA MWENZAKE JANA TU ALIKUWA NA MUKULU PALE CCBRT? YULE SASA NDIYO MJANJA NA YUPO KTK MIKONO SALAMA. Nyie WANASIASA JIFUNZENI KUJIDHATITI KOTE KOTE PINDI MNAPOAMUA KUINGIA KTK SIASA TENA HIZI ZA KIMAFIA ZA HAPA TANZANIA. Kifo Chake HAKINA TOFAUTI Na Cha CHACHA WANGWE au Cha Princess Dianna KIMAZINGIRA. Maisha YAENDELEE!
 
Back
Top Bottom